11.17.2018

Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

Umeme wa Mashariki, Nyimbo,hukumu


  • I
  • Mnyenyekevu na Uliyejificha,
  • Waambatana na watu katika matatizo yao,
  • Ukiwapa njia ya uzima wa milele.
  • Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwenyewe.
  • Na Wastahili upendo wao. 

11.16.2018

2. Njooni Zayuni Kwa Sifa

I
Njooni Zayuni kwa sifa. Makao ya Mungu tayari yameonekana.
Njooni Zayuni Kwa Sifa.
Nyote imbeni sifa za jina Lake takatifu; linaenea.
Mwenyezi Mungu! Mtawala wa ulimwengu, Kristo wa Mwisho, jua letu linalong’aa na kuangaza,
Ameinuka kutoka Mlima mkuu wa ulimwengu Zayuni. Mwenyezi Mungu!
Njooni Zayuni Kwa Sifa. 

Tamko la Nane

Kwa kuwa Mwenyezi Mungu—Mfalme wa ufalme—ameshuhudiwa, mawanda ya usimamizi wa Mungu yamejitokeza kabisa katika ulimwengu wote. Sio tu kwamba kuonekana kwa Mungu kumeshuhudiwa nchini China, lakini jina la Mwenyezi Mungu limeshuhudiwa katika mataifa yote na nchi zote.

11.15.2018

Tamko la Kumi na Nane



Kujenga kanisa si kitu rahisi cha kufanya! Niliweka moyo Wangu wote katika kulijenga na Shetani angefanya kila kitu ingeweza kuibomoa. Kama unataka kujengwa lazima uwe na maono; lazima uishi maisha kwa Mimi, kuwa shahidi wa Kristo, shikilia Kristo juu kwa juu, na kuwa mwaminifu Kwangu. Hupaswi kutoa visingizio, lakini badala yake kutii bila ya sharti; lazima uvumilie majaribu yoyote, na kukubali yote yanayotoka kwa Mimi.

Swahili Christian Song "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu



Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.

11.14.2018

Kiini cha Kristo Ni Mungu





  • Kiini cha Kristo Ni Mungu
  • I
  • Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
  • na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
  • Si kupita kiasi kusema hivyo,
  • kwani Ana kiini cha Mungu.
  • Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
  • ambayo haifikiwi na mwanadamu. 

Tamko la Kumi na Tano



Kuonekana kwa Mungu tayari kumetokea katika makanisa yote. Roho ndiyo anayeongea, Yeye ni moto mkali, Yeye hubeba uadhama na Anahukumu; Yeye ni Mwana wa Adamu, liyevaa vazi lililofika kwa miguu, na kufungwa mshipi kwenye matiti na ukanda wa dhahabu.

11.13.2018

Siwezi Kusema Yote Yaliyo Moyoni Mwangu

Umeme wa Mashariki,Nyimbo,hukumu
I
Leo nimekutana na Wewe, matumaini yangu yote yametimia.
Nimefurahia utajiri wote katika kumbatio Lako la upendo na ukunjufu.
Moyo Wako hakika ni mzuri sana, upendo Wako unanivutia.
Kile Ulicho nacho na kile Ulicho, ni vya thamani sana kwangu.
Siwezi kuelezea, hakuna maneno: 

Tamko la Hamsini na Saba



Je, umechunguza kila fikira na mawazo yako, na kila tendo lako? Uko wazi kuhusu gani kati ya haya yanalingana na mapenzi Yangu na gani hayalingani? Huna uwezo wa kutambua haya! Mbona hujaja mbele Yangu? Je, ni kwa sababu Sitakuambia, au ni kwa ajili ya sababu nyingine? Unapaswa kujua hili! Kujua kwamba wale walio wazembe hawawezi kuyaelewa mapenzi Yangu kabisa au kupokea mwangaza na ufunuo mkuu. 

11.12.2018

Tamko la Kumi na Nne


     Hapana muda wa kupoteza sasa. Roho Mtakatifu hutumia njia nyingi tofauti za kutuongoza katika maneno ya Mungu na kututayarisha na ukweli wote, kutakaswa, kuwa na undani wa kweli na ushirikiano na Mimi; huruhusiwi nafasi yoyote ya kuchagua. 

"Kubisha Hodi Mlangoni" (2) - Ni Makosa Gani Ambayo Hufanyika kwa Urahisi Zaidi Katika Kumkaribisha Bwana


      Watu wengi wa imani katika jamii za kidini wanaamini kile wachungaji na wazee wa kanisa wanachokisema, "Maneno na kazi zote za Munguziko katika Biblia. Haiwezekani kwa maneno yoyote ya Mungu kuonekana nje ya Biblia." Je, kuna msingi wa kibiblia wa dai hili, hata hivyo? Je, Bwana Yesu aliyasema maneno haya?

11.11.2018

Tamko la Kumi na Tatu



Katika hali yenu ya sasa nyinyi hushika dhana ya "kibinafsi"zaidi kupindukia, na madakizo ya dini ni mazito kiasi. Mmeshindwa kutenda katika roho, hamuwezi kufahamu kazi ya Roho Mtakatifu, na mmekataa mwanga mpya. Huoni jua wakati wa mchana kwa sababu wewe ni kipofu.