11.14.2018

Kiini cha Kristo Ni Mungu





  • Kiini cha Kristo Ni Mungu
  • I
  • Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
  • na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
  • Si kupita kiasi kusema hivyo,
  • kwani Ana kiini cha Mungu.
  • Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
  • ambayo haifikiwi na mwanadamu. 
  • Wale wanaojiita Kristo wenyewe
  • ilhali hawawezi kufanya kazi
  • ya Mungu ni wadanganyifu.
  • Wanaojifanya kuwa Kristo hatimaye wataanguka,
  • ingawaje wanadai kuwa Kristo,
  • hawana kiini chochote cha Kristo.
  • II
  • Kristo sio tu udhihirisho wa Mungu duniani,
  • lakini mwili hasa uliochukuliwa na Mungu.
  • Anapotekeleza na kutimiza kazi Yake kati ya mwanadamu.
  • Mwili huu hauwezi kubadilishwa na mwanadamu yeyote tu.
  • Ila mwili unaoweza kutosha kubeba kazi ya Mungu duniani.
  • Na kuonyesha tabia ya Mungu,
  • na kumwakilisha Mungu vizuri na kumpa mwanadamu uzima.
  • Hivyo Mungu anasema kuwa uhalali wa Kristo,
  • hauwezi kufafanuliwa na mwanadamu,
  • lakini unajibiwa na kuamuliwa na Mungu Mwenyewe.
  • Hivyo kama kwa kweli unataka kutafuta njia ya uzima,
  • lazima kwanza utambue,
  • ni katika siku za mwisho ambapo Anakuja duniani,
  • kumpa mwanadamu njia ya uzima.
  • Sio zamani, sio zamani; inafanyika leo.
  •  
  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

              Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni