11.15.2018

Tamko la Kumi na Nane



Kujenga kanisa si kitu rahisi cha kufanya! Niliweka moyo Wangu wote katika kulijenga na Shetani angefanya kila kitu ingeweza kuibomoa. Kama unataka kujengwa lazima uwe na maono; lazima uishi maisha kwa Mimi, kuwa shahidi wa Kristo, shikilia Kristo juu kwa juu, na kuwa mwaminifu Kwangu. Hupaswi kutoa visingizio, lakini badala yake kutii bila ya sharti; lazima uvumilie majaribu yoyote, na kukubali yote yanayotoka kwa Mimi.

Swahili Christian Song "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu



Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.

11.14.2018

Kiini cha Kristo Ni Mungu





  • Kiini cha Kristo Ni Mungu
  • I
  • Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
  • na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
  • Si kupita kiasi kusema hivyo,
  • kwani Ana kiini cha Mungu.
  • Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
  • ambayo haifikiwi na mwanadamu. 

Tamko la Kumi na Tano



Kuonekana kwa Mungu tayari kumetokea katika makanisa yote. Roho ndiyo anayeongea, Yeye ni moto mkali, Yeye hubeba uadhama na Anahukumu; Yeye ni Mwana wa Adamu, liyevaa vazi lililofika kwa miguu, na kufungwa mshipi kwenye matiti na ukanda wa dhahabu.

11.13.2018

Siwezi Kusema Yote Yaliyo Moyoni Mwangu

Umeme wa Mashariki,Nyimbo,hukumu
I
Leo nimekutana na Wewe, matumaini yangu yote yametimia.
Nimefurahia utajiri wote katika kumbatio Lako la upendo na ukunjufu.
Moyo Wako hakika ni mzuri sana, upendo Wako unanivutia.
Kile Ulicho nacho na kile Ulicho, ni vya thamani sana kwangu.
Siwezi kuelezea, hakuna maneno: 

Tamko la Hamsini na Saba



Je, umechunguza kila fikira na mawazo yako, na kila tendo lako? Uko wazi kuhusu gani kati ya haya yanalingana na mapenzi Yangu na gani hayalingani? Huna uwezo wa kutambua haya! Mbona hujaja mbele Yangu? Je, ni kwa sababu Sitakuambia, au ni kwa ajili ya sababu nyingine? Unapaswa kujua hili! Kujua kwamba wale walio wazembe hawawezi kuyaelewa mapenzi Yangu kabisa au kupokea mwangaza na ufunuo mkuu. 

11.12.2018

Tamko la Kumi na Nne


     Hapana muda wa kupoteza sasa. Roho Mtakatifu hutumia njia nyingi tofauti za kutuongoza katika maneno ya Mungu na kututayarisha na ukweli wote, kutakaswa, kuwa na undani wa kweli na ushirikiano na Mimi; huruhusiwi nafasi yoyote ya kuchagua. 

"Kubisha Hodi Mlangoni" (2) - Ni Makosa Gani Ambayo Hufanyika kwa Urahisi Zaidi Katika Kumkaribisha Bwana


      Watu wengi wa imani katika jamii za kidini wanaamini kile wachungaji na wazee wa kanisa wanachokisema, "Maneno na kazi zote za Munguziko katika Biblia. Haiwezekani kwa maneno yoyote ya Mungu kuonekana nje ya Biblia." Je, kuna msingi wa kibiblia wa dai hili, hata hivyo? Je, Bwana Yesu aliyasema maneno haya?

11.11.2018

Tamko la Kumi na Tatu



Katika hali yenu ya sasa nyinyi hushika dhana ya "kibinafsi"zaidi kupindukia, na madakizo ya dini ni mazito kiasi. Mmeshindwa kutenda katika roho, hamuwezi kufahamu kazi ya Roho Mtakatifu, na mmekataa mwanga mpya. Huoni jua wakati wa mchana kwa sababu wewe ni kipofu.

Tamko la Ishirini na Nne


Mwenyezi Mungu alisema, Wakati unakaribia hata zaidi. Amkeni! Watakatifu wote! Nitawatamkia ninyi. Wote wanaosikia wataamka. Mimi ni Mungu ambaye mmekuwa na imani katika kwa miaka hii mingi.

11.10.2018

Wanadamu Wanaoishi Chini ya Mamlaka ya Mungu

Wanadamu Wanaoishi Chini ya Mamlaka ya Mungu

Wanadamu, ambao huishi kati ya vitu vyote, wamepotoshwa na kudanganywa na Shetani,
lakini bado hawawezi kuyaachilia maji yaliyotengenezwa na Mungu,
na hewa na vitu vyote vilivyotengenezwa na Mungu.
Wanadamu bado huishi na kuzaana upesi katika nafasi hii iliyoumbwa na Mungu. 

Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Nan


       Mwenyezi Mungu alisema, Hali ya watu ni kwamba kadri wanavyoelewa maneno ya Mungu kwa kiasi kidogo, ndivyo wanavyoshuku zaidi njia ya sasa ya Mungu ya kufanya kazi. Lakini hii haina athari kwa kazi ya Mungu; maneno Yake yanapofikia kiwango fulani, kwa kawaida mioyo ya watu itabadilika. Katika maisha yao, kila mtu huyakazia macho maneno ya Mungu, na pia wao huanza kutamani sana maneno Yake—na kwa sababu ya mfichuo wa Mungu wa siku zote, wanaanza kujidharau.