10.18.2018

"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)



"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)


        Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana.

Kama Nisingeokolewa na Mungu


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, upendo wa Mungu


  • Kama Nisingeokolewa na Mungu 

  • I
  • Kama nisingeokolewa na Mungu,
  • ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu,
  • nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi;
  • kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. 

10.17.2018

Tamko la Pili

Tamko la Pili

Kanisa la Filadelfia limechukua umbo, na hili limesababishwa kabisa na neema na rehema za Mungu. Watakatifu wameleta upendo wao wa Mungu mbele na kamwe hawakuyumbayumba kutoka kwa njia yao ya kiroho. Kuwa imara katika imani kwamba Mungu mmoja wa kweli Amekuwa mwili, ya kwamba Yeye ndiye Mkuu wa ulimwengu Ambaye hutawala vitu vyote—hii imethibitishwa na Roho Mtakatifu na ni ushahidi thabiti! Kamwe hauwezi kubadilika! 

Wale Ambao Mungu Atawaokoa ni wa Kwanza Kabisa Moyoni Mwake

Wale Ambao Mungu Atawaokoa ni wa Kwanza Kabisa Moyoni Mwake

I
Kazi ya Mungu ya kuokoa ni muhimu vipi,
muhimu zaidi kuliko vitu vingine vyote Kwake.
Kwa mipango na mapenzi yaliyokusudiwa, sio mawazo na maneno tu,
Anafanya kila kitu kwa wanadamu wote.
Oh ni muhimu kiasi gani, kazi ya Mungu ya kuokoa, kwa ajili ya mwanadamu na Yeye Mwenyewe. 

10.16.2018

Tamko la Mia Moja na Nane

Tamko la Mia Moja na Nane

Ndani Yangu, wote wanaweza kupata raha na wote wanaweza kuwa huru. Wale walio nje Yangu hawawezi kupata uhuru na furaha kwa sababu Roho Wangu hayuko pamoja na watu hawa. Watu hawa wanaitwa wafu wasio na roho. Nami Nawaita wale walio ndani Yangu watu walio hai wenye roho. Wao ni Wangu, na watarudi kwenye kiti Changu cha enzi.

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God


Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God


Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako,
utaelewa kile kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kile kilicho ndani Yake
kwa imani na usikivu wako wote.

10.15.2018

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Umeme wa Mashariki, Roho Mtakatifu, ukweli

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Jinru    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu.

Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa



  • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  • I
  • Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
  • kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
  • Atamwokoa na kumpata kabisa;
  • kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
  • Atamfikisha katika hatima sahihi. 

10.14.2018

Umo Moyoni Mwangu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili, Nyimbo

 Umo Moyoni Mwangu

I
Ninapotenda wajibu wangu mbali na nyumbani,
nawaza kukuhusu, na ninakuomba.
Kupitia kusoma maneno Yako,
nimekuja kukuamini zaidi na moyo wangu unapozwa, oo.
Kukushuhudia Wewe, ninapitia machungu mengi,
na najua hata vizuri zaidi jinsi Unavyopendeza.
Kukufuata, nitatembea milele hadi mwisho. 

Tamko la Kumi na Mbili

Umeme wa Mashariki, Mungu, Kanisa

Tamko la Kumi na Mbili

Wakati umeme unatoka Mashariki—ambapo pia ni wakati hasa Naanza kunena—wakati umeme unakuja, mbingu yote inaangaziwa, na nyota zote zinaanza kubadilika. Inaonekana kana kwamba jamii nzima ya binadamu imesafishwa na kupangwa vizuri.

10.13.2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Umeme wa Mashariki, Injili, ukweli

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Xiaoxue, Malesia
Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na kufanikiwa, walipokuwa na umri wa miaka miwili, nilijadiliana na mume wangu juu ya kuwatafutia shule nzuri ya chekechea.

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena



"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena


      Katika karne zote tangu Bwana Yesu alipofufuka na Akapaa mbinguni, sisi waumini tumetamani sana kwa hamu kurudi kwa Yesu Mwokozi. Watu wengi wanaamini kwamba utakuwa mwili wa kiroho wa Yesu aliyefufuka ambao utaonekana kwetu wakati Bwana atarudi.