10.18.2018

Kama Nisingeokolewa na Mungu


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, upendo wa Mungu


  • Kama Nisingeokolewa na Mungu 

  • I
  • Kama nisingeokolewa na Mungu,
  • ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu,
  • nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi;
  • kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. 
  • Kama nisingeokolewa na Mungu,
  • bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani,
  • kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake,
  • bila kujua maisha yangu yangekuwaje.
  • Kama nisingeokolewa na Mungu,
  • nisingekuwa na baraka zangu leo,
  • wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi
  • ama maana ya maisha yetu.
  • Kama nisingeokolewa na Mungu,
  • bado ningekuwa nimechanganywa kuhusu imani yangu,
  • nikiwa ningali katika nafasi tupu nikisukuma siku,
  • bila kujua imani yangu iwe kwa nani.
  • Hatimaye nimeelewa
  • mikono ya upendo ya Mungu imeshika yangu safarini.
  • Sitaweza kwenda na kupotea njia
  • kwa sababu niko kwa mwendo huu mwangavu kukaa.
  • Hatimaye nimeelewa dhamira ya Mungu,
  • yenye ari kwa mtu.
  • Fikra danganyifu kuondolewa kabisa,
  • nitampa Mungu mwili wangu na roho yangu.
  • II
  • Kama nisingeokolewa na Mungu,
  • nisingekuwa na baraka zangu hapa leo,
  • wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi
  • ama maana ya maisha yetu.
  • Kama nisingeokolewa na Mungu,
  • bado ningekuwa nimechanganywa kuhusu imani yangu,
  • nikiwa ningali katika nafasi tupu nikisukuma siku,
  • bila kujua imani yangu iwe kwa nani.
  • Hatimaye nimeelewa
  • mkono wa upendo wa Mungu umeushika wangu safarini.
  • Sitaweza kwenda na kupotea njia
  • kwa sababu niko kwa mwendo huu mwangavu kukaa.
  • Hatimaye nimeelewa dhamira ya Mungu,
  • yenye ari kwa mtu.
  • Fikra danganyifu kuondolewa kabisa,
  • nitampa Mungu mwili wangu na roho yangu.
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza nyimbo: Kanisa la Mwenyezi Mungu Wimbo wa Maneno ya Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni