10.14.2018

Umo Moyoni Mwangu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili, Nyimbo

 Umo Moyoni Mwangu

I
Ninapotenda wajibu wangu mbali na nyumbani,
nawaza kukuhusu, na ninakuomba.
Kupitia kusoma maneno Yako,
nimekuja kukuamini zaidi na moyo wangu unapozwa, oo.
Kukushuhudia Wewe, ninapitia machungu mengi,
na najua hata vizuri zaidi jinsi Unavyopendeza.
Kukufuata, nitatembea milele hadi mwisho. 
Unapobadilisha umbo Lako,
tutakaribisha kurudi Kwako, ee,
tutakaribisha kurudi Kwako.
II
Ni maneno Yako yanayonisitawisha
na kunipa maisha ya binadamu.
Ninapofikiria kuhusu upendo Wako, moyo wangu unafurahia,
na mwili wangu wote unajazwa na nguvu, na nguvu.
Ninaacha kila kitu na kugharimika kwa ajili Yako.
Ni wewe Unayeniinua
Kukufuata, nitatembea milele hadi mwisho.
Unapobadilisha umbo Lako,
tutakaribisha kurudi Kwako, ee,
tutakaribisha kurudi Kwako, oo.
Oo, Kukufuata, nitatembea milele hadi mwisho.
Unapobadilisha umbo Lako,
tutakaribisha kurudi Kwako, ee,
tutakaribisha kurudi Kwako.
III
Matatizo na daima kuwa mbioni
havinisababishii maumivu, kwa kuwa Uko pamoja nami.
Ingawa siwezi kuona uso Wako,
moyo wangu bado unakupenda, na Wewe uko moyoni mwangu.
Upendo Wako tayari umeweka mizizi moyoni mwangu
nami nitakuwa mwaminifu Kwako milele.
Kukufuata, nitatembea milele hadi mwisho.
Unapobadilisha umbo Lako,
tutakaribisha kurudi Kwako, ee,
tutakaribisha kurudi Kwako,
tutakaribisha kurudi Kwako,
tutakaribisha kurudi Kwako.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu nyimbo za injili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni