- Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa
- I
- Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
- kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
- Atamwokoa na kumpata kabisa;
- kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
- Atamfikisha katika hatima sahihi.
- Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
- ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
- Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
- Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa
- matarajio ya jamii ya wanadamu,
- mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika
- hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
- II
- Kwa sababu ni Mungu anayemfanyia mwanadamu kazi,
- mwanadamu ana hatima
- na hatima yake hivyo inahakikishwa,
- hatima yake inahakikishwa.
- Yale ambayo mwanadamu hufuatilia na kutamani
- ni matarajio aliyo nayo
- anapofuata tamaa badhirifu za kimwili,
- badala ya hatima,
- hatima inayotazamiwa na mwanadamu.
- Yale ambayo Mungu amemwandalia mwanadamu,
- kwa upande mwingine,
- ni baraka na ahadi zinazomngoja mwanadamu atakapotakaswa,
- ambayo Mungu alimwandalia baada ya kuiumba dunia.
- Hizo baraka na ahadi hazichafuliwi na fikira
- ya mwanadamu na mawazo,
- au chaguo lake au mwili.
- Hii hatima haijaandaliwa kwa mtu mahsusi,
- mtu mahsusi,
- lakini ni mahali pa mapumziko kwa kila mwanadamu.
- Hii ndiyo hatima inayofaa,
- hatima inayofaa kwa mwanadamu.
- III
- Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
- Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
- Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa
- matarajio ya jamii ya wanadamu,
- mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika
- hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
- Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
- Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
- Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa
- matarajio ya jamii ya wanadamu,
- mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika
- hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
- kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Yaliyopendekezwa: Kujua zaidi Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Soma zaidi Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni