9.20.2018

Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Nyimbo

Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa na dhambi ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.

Tamko la Ishirini na Tisa

Umeme wa Mashariki, siku za mwisho, hukumu

Tamko la Ishirini na Tisa

Siku hiyo ambayo vitu vyote vilifufuliwa, Nilikuja miongoni mwa wanadamu, na Nimeshinda naye kwa siku zilizokuwa za ajabu usiku na mchana. Ni katika hatua hii tu ndipo mwanadamu anaona wepesi Wangu wa kufikiwa, na vile uhusiano wake na Mimi unavyozidi kuwa mwingi, anaona baadhi ya kile Ninacho na Nilicho—na kwa sababu hii, anapata ufahamu kunihusu.

9.19.2018

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China



Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China


       Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Tamko la Ishirini na Nane

Umeme wa Mashariki, maombi, Mungu

Tamko la Ishirini na Nane

Nilipokuja kutoka Zayuni, vitu vyote vilikuwa vimenisubiri, na Niliporudi Zayuni, Nilisalimiwa na wanadamu wote. Nilipokuja na kwenda, hatua Zangu hazikuwahi zuiliwa na vitu vilivyokuwa na uadui Kwangu, na kwa hivyo kazi Yangu iliendelea kwa utaratibu. Leo, Ninapokuja miongoni mwa viumbe vyote, vitu vyote vinanisalimu kwa kimya, kwa uoga mkuu kuwa Nitaondoka tena na Niondoe usaidizi kwao.

9.18.2018

Zingatia Majaliwa ya Binadamu

  • Zingatia Majaliwa ya Binadamu

  •  
  • Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
  • Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
  • mzingatie hatima ya wanadamu;
  • mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
  • ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
  • kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,
  • kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.

Kujua Chanzo cha Upinzani wa Watu kwa Kazi Mpya ya Mungu katika Imani Yao kwa Mungu

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

Kujua Chanzo cha Upinzani wa Watu kwa Kazi Mpya ya Mungu katika Imani Yao kwa Mungu

Maneno Husika ya Mungu:

Sababu kwamba mwanadamu humpinga Mungu inatoka, kwa upande mmoja, katika tabia potovu ya mwanadamu, na kwa upande mwingine, kutokana na kutomfahamu Mungu na kutoelewa kanuni za kazi ya Mungu na mapenzi Yake kwa mwanadamu. Vipengele hivi viwili vinaunganishwa katika historia ya upinzani wa mwanadamu kwa Mungu. Wanafunzi katika imani wanampinga Mungu kwa sababu upinzani kama huu uko ndani ya asili yao, ilhali upinzani dhidi ya Mungu wa wale walio na miaka mingi katika imani unatokana na kutomfahamu Mungu, kuongeza kwa tabia yao potovu.

9.17.2018

Kuukaribisha Uso Wako Unaotabasamu Unapoonekana Mbele Yangu

Umeme wa Mashariki, hukumu, Nyimbo, Mungu

Kuukaribisha Uso Wako Unaotabasamu Unapoonekana Mbele Yangu

Uliniinua kutoka kwa vumbi hadi ndani ya kumbatio Lako.
Uliamsha moyo wangu kutoka kwa usingizi wa usiku mrefu wa giza.
Nikitazama ndani ya ukungu wangu, naona uso Wako unaotabasamu.
Inauita moyo wangu na upendo wangu.
Sikufikiria kamwe ningeuona uso Wako.

Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Yesu, Kanisa


Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Xie Li, Marekani
Zamani nilikuwa mtu ambaye angefuata mitindo ya dunia, nilitaka kujiachilia kwa maisha ya anasa, na nilijali tu kuhusu anasa za mwili. Mara nyingi ningeenda na rafiki zangu kwa KTV usiku mzima, ningeenda matembezi kwa motokaa katikati ya usiku, ningeenda kuvua samaki katika bahari, na kusafiri pande zote nikitafuta vyakula vizuri.

9.16.2018

Tamko la Ishirini na Saba

Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu


Tamko la Ishirini na Saba

Mwenyezi Mungu alisema, Mienendo ya binadamu haijawahi kuugusa moyo Wangu kamwe, wala kuonekana Kwangu kama kitu cha thamani. Machoni mwa mwanadamu, Mimi humweka katika sheria kali kila wakati, na kila mara Nimemweka chini ya mamlaka kali.

Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa “Kwaya ya Injili ya Kichina 13”


Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa “Kwaya ya Injili ya Kichina 13”




1. WANADAMU WAMEUPATA TENA UTAKATIFU WAO WALIOKUWA NAO AWALI
La … la … la … la …
Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo. (Du … ba … ba la ba ba) Miji ya mbingu inacheka kwa furaha (du ba du ba), na falme za nchi zinacheza kwa shangwe (Ba ba ba …) Ni nani wakati huu ambaye haonyeshi furaha? Na ni nani wakati huu ambaye halii? (Du … ba … ba la ba ba) Nchi ni miliki ya mbingu, na mbingu imeungana na nchi.

9.15.2018

Tamko la Ishirini na Tano

Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, mungu

Tamko la Ishirini na Tano

Mwenyezi Mungu alisema, Muda unapita, na kufumba na kufumbua leo imefika. Chini ya uongozi wa Roho Wangu, watu wote wanaishi katikati ya mwanga Wangu, na hakuna anayefikiria yaliyopita ama kuiwekea jana maanani. Nani hajawahi kuishi katika wakati wa sasa? Ni nani ambaye hajapata kupitia katika siku na miezi ya ajabu katika ufalme? Ni nani hajaishi chini ya jua? Ingawa ufalme umeshuka miongoni mwa mwanadamu, hakuna ambaye amepata kupitia ukunjufu wake; mwanadamu anautambua tu kutoka nje, bila kufahamu dutu lake.

Maisha Yetu Sio Bure

Kanisa la Mwenyezi Mungu, mungu, Nyimbo

Maisha Yetu Sio Bure

Maisha yetu sio bure.
Maisha yetu sio bure.
I
Leo tunakutana na Mungu,
tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili,
wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake,
nzuri na ya ajabu.