9.18.2018

Zingatia Majaliwa ya Binadamu

  • Zingatia Majaliwa ya Binadamu

  •  
  • Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
  • Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
  • mzingatie hatima ya wanadamu;
  • mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
  • ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
  • kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,
  • kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.
  • Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.
  • Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama,
  • ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa.
  • Wengine wote watapata angamizwa, na kupokea adhabu wanayostahili.
  • Mungu awahimiza makabila yote mataifa na nyanja zote:
  • Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
  • mzingatie hatima ya wanadamu.
  • Zingatia hatima ya wanadamu wote u-u-u-u-uh!
  •  
  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya


             Soma zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni