1.02.2019

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?



 "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?


        Watu wengi katika kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana wanaweka umuhimu tu katika unabii ulio katika Maandiko kwamba Bwana atashuka kutoka mawinguni kuja tena huku wakipuuza unabii kwamba kuja kwa pili kwa Bwana ni kupitia kupata mwili.

“Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” (4) - Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu?



        Miaka elfu mbili iliyopita, Mungu alipopata mwili kama Bwana Yesu na kuja miongoni mwa wanadamu kuwakomboa binadamu Alikataliwa katika enzi ya giza, hatimaye kusulubiwa msalabani na binadamu waovu wenye upotovu.

1.01.2019

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma



       Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali. Lakini Ningeweza kukabiliwa na miradi yake ya udanganyifu?

Latest Swahili Christian Video "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God

    
     Gangqiang ni Mkristo. Aliona namna upendo wa Bwana na huruma Yake kwa binadamu vilivyo vikubwa, na akaamua mara nyingi kwamba angempenda Bwana, kumridhisha Bwana, kutekeleza neno la Bwana, na kuwa na mwenendo wake binafsi kama mtu anayesifiwa na Bwana.

12.31.2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"


        Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 61

Ukiwa na ufahamu wa hali yako mwenyewe basi utafanikisha mapenzi Yangu. Kwa kweli, mapenzi Yangu si magumu kushika, ni kwamba tu katika siku zilizopita hukuweza kutafuta kulingana na lengo Langu. Ninachotaka si dhana wala fikira za binadamu, sembuse pesa zako wala mali yako. Ninachotaka ni moyo wako, unaelewa? Haya ni mapenzi Yangu, na hata zaidi ni kitu ambacho Nataka kupata. Watu daima hutumia dhana zilizo akilini mwao kunifanyia maamuzi, na kuhakiki kimo Changu wakitumia Vipimo vyao. 

12.30.2018

Watu Wanamjua Mungu Bora Kupitia Kazi ya Maneno

Umeme wa Mashariki,siku za mwisho,ukweli

Watu Wanamjua Mungu Bora Kupitia Kazi ya Maneno

I
Mungu wa siku za mwisho hasa anatumia neno kumkamilisha mwanadamu,
si ishara na miujiza ya kumdhulumu au kumshawishi,
kwa kuwa hivi haviwezi kueleza nguvu za Mungu.
Ikiwa Mungu angeonyesha tu ishara na miujiza,
haingewezekana kudhihirisha ukweli wa Mungu,
na hivyo haingewezekana kumkamilisha mwanadamu. 

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 103

Sauti ya mngurumo inatoka, ikiutetemesha ulimwengu mzima, ikiwahanikiza watu, na kuwafanya wachelewe kukwepa, na wengine wanauawa, baadhi wanaangamizwa, na wengine wanahukumiwa. Kweli ni kioja ambacho hakuna yeyote amewahi kukiona awali. Sikiliza kwa makini, milio ya radi inafuatana na sauti za kuomboleza, na sauti hii inatoka kuzimu, sauti hii inatoka jahanamu.

12.29.2018

nyimbo za injili | Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo

Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

I
Watu leo hawamthamini Mungu.
Hana nafasi ndani ya mioyo yao.
Katika siku zijazo, siku za mateso,
je, wanaweza kuonyesha upendo wa kweli, kuonyesha upendo wa kweli Kwake? 

12.28.2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 98


Mambo yote yatakuja juu ya kila mmoja wenu, na yatawawezesha kujua zaidi juu Yangu na kuwa na uhakika zaidi juu Yangu. Yatawawezesha kunijua, Mungu mmoja Mwenyewe, kunijua Mimi Mwenye uweza, kunijua Mimi Mungu Mwenyewe mwenye mwili. Baadaye, Nitatoka katika mwili, Nirudi Sayuni, Nirudi katika nchi nzuri ya Kanaani, ambayo ni makazi Yangu, ndiyo hatima Yangu, na ndio msingi ambao niliumba vitu vyote. Sasa hakuna yeyote kati yenu anayeelewa maana ya maneno ambayo Ninasema, hakuna mtu hata mmoja ambaye anaweza kuelewa maana ya maneno haya.  

Umeme wa Mashariki | Sura ya 101

Sitakuwa mwenye huruma kwa yeyote anayeingilia usimamizi Wangu ama anayejaribu kuiharibu mipango Yangu. Kila mtu anapaswa kuelewa kile Ninachomaanisha kutoka kwa maneno Ninayosema na lazima aelewe vizuri kile Ninachozungumzia. Kwa kuzingatia hali iliyopo, kila mtu anapaswa kujichunguza: Ni wajibu gani unaotekeleza? Unaishi kwa ajili Yangu, au unamtumikia Shetani? Je, kila moja ya matendo yako hutoka Kwangu, au hutoka kwa Shetani?

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path



Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path


Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua.