Mwenyezi Mungu alisema, Ninawachukia wale wote ambao hawajajaaliwa na kuchaguliwa na Mimi. Kwa hiyo ni lazima Niwafukuze watu hawa kutoka katika nyumba Yangu mmoja baada ya mwingine, hivyo hekalu Langu litakuwa takatifu na bila doa, nyumba Yangu itakuwa mpya daima na haitakuwa nzee kamwe, jina Langu takatifu litaenezwa milele na watu Wangu watakatifu watakuwa wapendwa Wangu. Aina hii ya mandhari, aina hii ya nyumba, aina hii ya ufalme ni lengo Langu, makao Yangu nayo ni msingi wa uumbaji Wangu wa vitu vyote.
Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
12.27.2018
nyimbo za injili | Mungu Amekuwa Akijishughulisha Kumuongoza Mwanadamu Daima
Mungu Amekuwa Akijishughulisha Kumuongoza Mwanadamu Daima
I
Tangu Mungu alipoanza usimamizi Wake, amekuwa akijitolea kwa kazi Yake.
Daima akiwa karibu ya wanadamu, japo akijifichika, akiwaongoza kwa kiini Chake.
Mungu amekuwa akiwashughulikia wote kwa uwezo, kwa hekima na mamlaka,
akionyesha tabia Yake, na Akaleta Enzi za Sheria, Neema, na Ufalme.
12.26.2018
Umeme wa Mashariki | Sura ya 45
Mnawahukumu ndugu zenu hadharani kana kwamba si kitu. Hakika hamjui mema na maovu; hamna aibu! Je, hii si tabia mbaya ya kifidhuli, ya kutojali? Kila mmoja wenu amechanganyikiwa na ni mwenye moyo mzito; mnabeba mizigo mingi na hakuna sehemu Yangu ndani yako. Watu vipofu! Ninyi ni wakatili namna gani—hili litakoma lini?
Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana
Unyenyekevu wa Mungu ni wa Kupendeza Sana
I
Mungu hujinyenyekeza Mwenyewe na kufanya kazi Yake
kwa mwanadamu mchafu na mwovu ili kumfanya awe mkamilifu.
Mungu anakuwa mwanadamu.
Yeye huwachunga na kuwahudumia, huja kwa maskani ya joka kuu jekundu
kuokoa na kuwashinda wale waliopotoka,
kufanya kazi ya kuwabadilisha na kuwafanya wapya.
12.25.2018
Umeme wa Mashariki | Sura ya 97
Mwenyezi Mungu alisema, Nitafanya kila mtu aone matendo Yangu ya ajabu na kusikia maneno Yangu ya hekima. Ni lazima iwe kila mtu na ni lazima iwe juu ya kila suala. Hii ni amri Yangu ya utawala na ni ghadhabu Yangu. Nitahusisha kila mtu na kila jambo ili watu wote kutoka mwisho mmoja wa ulimwengu hadi mwingine wataona kwa macho yao wenyewe, la sivyo Sitaacha kamwe. Ghadhabu Yangu imemwagwa kikamilifu na hakuna hata chembe imezuiwa. Inaelekezwa kwa kila mtu mmoja ambaye anakubali jina hili (hivi karibuni itageuzwa juu ya mataifa yote ya dunia). Na ghadhabu Yangu ni nini?
Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli"
12.24.2018
Umeme wa Mashariki | Sura ya 85
Mimi huwatumia watu tofauti kufanikisha mapenzi Yangu. Laana Zangu hufanikishwa kwa wale Ninaowaadibu na baraka Zangu kufanikishwa kwa wale ambao Ninawapenda. Ambao sasa hukutana na baraka Zangu na ambao hupitia laana Zangu kwa neno Langu moja na tamko Langu.
nyimbo za injili | Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu
Hakuna Anayeweza Kuizuia Kazi ya Mungu
Kazi ya Mungu, kazi ya Mungu, hakuna anayeweza kuzuia kazi ya Mungu kamwe.
I
Mungu alipomwahidi Ibrahimu kuwa angekuwa na mwana,
alifikiri haiwezekani.
12.23.2018
Sura ya 83
Hujui kwamba Mimi ni Mwenyezi Mungu; hujui kwamba mambo yote na vitu vyote viko chini ya udhibiti Wangu! Maana ya kila kitu huumbwa na kukamilishwa na Mimi ni ni? Baraka au misiba ya kila mtu hutegemea utimilifu Wangu, matendo Yangu. Mwanadamu anaweza kufanya nini? Mwanadamu anaweza kufanikisha nini kwa kufikiri? Katika enzi hii ya mwisho, katika enzi hii potovu, katika dunia hii ya giza ambayo Shetani ameipotosha sana, ni kina nani wachache ambao wako jinsi Nipendavyo? Ikiwa ni leo, jana, au katika siku zijazo zisizo mbali, maisha ya kila mtu huamuliwa na Mimi.
Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake
Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake
I
Mungu ni uzima, chanzo cha viumbe wote wanaoishi.
Mamlaka ya Mungu hufanya kila kitu kitii maneno Yake,
kije kuwepo kulingana na maneno Yake,
kiishi na kuzaa kwa amri ya Mungu.
Mungu huwaongoza viumbe wote waishio,
na hakutakuwa na kupotoka milele na milele.
12.22.2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 53
Mimi ndiye mwanzo, na Mimi ndiye mwisho. Mimi ndiye Mungu mmoja wa kweli aliyefufuka na kamili. Nasema maneno Yangu mbele yenu, na lazima muamini Ninachosema kwa thabiti. Mbingu na dunia zinaweza kupita lakini hakuna herufi moja au mstari mmoja wa kile Ninachosema kitawahi kupita. Kumbuka hili! Kumbuka hili! Punde ambapo Nimesema, hakuna neno hata moja limewahi kurudishwa na kila neno litatimizwa.
nyimbo za injili | Unapaswa Kutafuta Kumpenda Mungu kwa Hiari
Unapaswa Kutafuta Kumpenda Mungu kwa Hiari
I
Leo lazima uwe katika njia sahihi
kwani unamwamini Mungu wa vitendo.
Ukiwa na imani, usitafute tu baraka Zake,
bali tafuta kumpenda na kumjua Mungu.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)