11.23.2018

Tamko la Kumi na Tisa

Kazi ya Roho Mtakatifu inapoendelea mbele, Mungu kwa mara nyingine tena ametuingiza katika mbinu mpya ya kazi ya Roho Mtakatifu. Matokeo yake, haiepukiki kwamba baadhi ya watu wamenielewa Mimi vibaya na kufanya malalamiko Kwangu. Wengine wamenipinga na kunikataa Mimi, na wamenichunguza Mimi.

11.22.2018

Ishara ya Tabia ya Mungu

Ishara ya Tabia ya Mungu

I
Tabia ya Mungu inajumuisha upendo Wake na faraja Yake kwa binadamu,
inajumuisha chuki Yake na ufahamu Wake wa kina wa binadamu.
Tabia ya Mungu,
tabia ya Mungu ni kitu ambacho Mtawala wa viumbe vyote vinavyoishi
au kile ambacho Bwana wa uumbaji wote anacho.
Tabia ya Mungu
inawakilisha heshima, nguvu, na maadili,
inawakilisha ukuu na utawala. 

New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa


New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa


      Jina lake ni Zheng Lu, na tangu utotoni, alikuwa hasa ovyo. Kwa sababu ya ushawishi wa kijamii na elimu ya utamaduni wa kidesturi wa Kichina, alisoma bila kuchoka, akitumai kufikia chuo kikuu na kufanikisha ndoto yake ya kuwapiku marika wake na kuwa na mafanikio, lakini ajali isiyotarajiwa ilimharibia ndoto yake. Wakati tu alipohisi vibaya, mnyonge, na asiyeweza kuupata mwelekeo maishani, wokovu wa Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho ulimpata.

11.21.2018

Mungu Humkimu Kila Mtu kwa Unyamavu

Mungu Humkimu Kila Mtu kwa Unyamavu

I
Mungu huyakimu mahitaji ya kila mtu, kila mahali, wakati wote.
Yeye huyachunguza mawazo yao yote, jinsi mioyo yao hupitia mabadiliko.
Na Yeye huwapa faraja wanayohitaji, akiwatia moyo na kuwaongoza.
Kwa yule anayempenda Yeye, kwa yule anayefuata,
Mungu hatakatalia chochote, baraka Zake zote zitajitokeza. 

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Ishirini na Tano



Mwenyezi Mungu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani, Mungu wetu Anatawala! Mwenyezi Mungu anaweka miguu Yake kwenye Mlima wa Mizeituni. Uzuri ulioje! Sikiliza! Sisi walinzi tunapaza sauti zetu: tunaimba kwa pamoja kwa sauti zetu, kwa kuwa Mungu amerudi Sayuni.

11.20.2018

Tamko la Themanini



Kila kitu kinahitaji mawasiliano halisi na Mimi ili kupata nuru na kuangazwa; aidha, ni kwa njia hii tu ndio roho inaweza kuwa na amani. La sivyo, haitakuwa na amani.

Yasifu Maisha Mapya

Kanisa la Mwenyezi Mungu,ukweli,ushuhuda

Haleluya! Mwenyezi Mungu! Tunakushukuru na kukusifu!
Haleluya! Mwenyezi Mungu! Tunakuabudu Wewe milele!
I
Kristo ameonekana katika siku za mwisho. (Haleluya! Halleluya!)
Maneno Yake yanatuhukumu, kututakasa na kutuongoza. (Haleluya! Halleluya!) 

11.19.2018

Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu



      • I
      •       Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu, lazima tutafute mapenzi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake. Kwani palipo na maneno mapya ya Mungu, pana sauti ya Mungu, sauti Yake; palipo na nyayo za Mungu, pana matendo ya Mungu, matendo ya Mungu.

Mtazamo Ambao Wale Wanaoyatii Mamlaka ya Mungu Wanapaswa Kuumiliki

Mtazamo Ambao Wale Wanaoyatii Mamlaka ya Mungu Wanapaswa Kuumiliki

I
Ni jinsi gani wanadamu wanapaswa kuyajua na kuyastahi
mamlaka ya Mungu, ukuu Wake juu ya kudura ya mwanadamu?
Tatizo hili huwakabili wanadamu wote.
Unapokabiliwa na matatizo katika maisha yako,
utaelewaje na kuonja mamlaka na ukuu wa Mungu? 

11.18.2018

Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari"



      Zhong Xin ni mhubiri kutoka katika kanisa moja la nyumbani katika bara China. Amekuwa muumini katika Mungu kwa miaka mingi na kila mara amepitia kukamatwa na mateso ya CCP. Chuki yake ya CCP ni ya kina sana, na ameona wazi kwa muda mrefu sasa kwamba CCP ni utawala wa kishetani ambao unajiweka katika upinzani na Mungu.

Kutoa Sadaka ya Thamani Sana kwa Mungu

Kutoa Sadaka ya Thamani Sana kwa Mungu

I
Baada ya miaka ya shida, kuadibiwa na kusafishwa,
mwanadamu hatimaye amedhoofika; utukufu, na mahaba, sasa yamepotea.
Sasa anaelewa ukweli wa kuwa mwanadamu na ibada ya Mungu.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia. 

11.17.2018

Tamko la Kumi na Sita


      Baada ya ushuhudiaji wa Mwana wa Adamu, Mwenyezi Mungu alijifichua kwetu hadharani kama Jua la haki. Haya ndiyo mabadiliko mlimani! Sasa inakuwa halisi zaidi na zaidi, na zaidi kuwa jambo la uhalisi. Tumeona utaratibu wa kazi ya Roho Mtakatifu, Mungu Mwenyewe ameibuka kutoka kwa mwili wa damu.