11.12.2018

Tamko la Kumi na Nne


     Hapana muda wa kupoteza sasa. Roho Mtakatifu hutumia njia nyingi tofauti za kutuongoza katika maneno ya Mungu na kututayarisha na ukweli wote, kutakaswa, kuwa na undani wa kweli na ushirikiano na Mimi; huruhusiwi nafasi yoyote ya kuchagua. 

"Kubisha Hodi Mlangoni" (2) - Ni Makosa Gani Ambayo Hufanyika kwa Urahisi Zaidi Katika Kumkaribisha Bwana


      Watu wengi wa imani katika jamii za kidini wanaamini kile wachungaji na wazee wa kanisa wanachokisema, "Maneno na kazi zote za Munguziko katika Biblia. Haiwezekani kwa maneno yoyote ya Mungu kuonekana nje ya Biblia." Je, kuna msingi wa kibiblia wa dai hili, hata hivyo? Je, Bwana Yesu aliyasema maneno haya?

11.11.2018

Tamko la Kumi na Tatu



Katika hali yenu ya sasa nyinyi hushika dhana ya "kibinafsi"zaidi kupindukia, na madakizo ya dini ni mazito kiasi. Mmeshindwa kutenda katika roho, hamuwezi kufahamu kazi ya Roho Mtakatifu, na mmekataa mwanga mpya. Huoni jua wakati wa mchana kwa sababu wewe ni kipofu.

Tamko la Ishirini na Nne


Mwenyezi Mungu alisema, Wakati unakaribia hata zaidi. Amkeni! Watakatifu wote! Nitawatamkia ninyi. Wote wanaosikia wataamka. Mimi ni Mungu ambaye mmekuwa na imani katika kwa miaka hii mingi.

11.10.2018

Wanadamu Wanaoishi Chini ya Mamlaka ya Mungu

Wanadamu Wanaoishi Chini ya Mamlaka ya Mungu

Wanadamu, ambao huishi kati ya vitu vyote, wamepotoshwa na kudanganywa na Shetani,
lakini bado hawawezi kuyaachilia maji yaliyotengenezwa na Mungu,
na hewa na vitu vyote vilivyotengenezwa na Mungu.
Wanadamu bado huishi na kuzaana upesi katika nafasi hii iliyoumbwa na Mungu. 

Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Nan


       Mwenyezi Mungu alisema, Hali ya watu ni kwamba kadri wanavyoelewa maneno ya Mungu kwa kiasi kidogo, ndivyo wanavyoshuku zaidi njia ya sasa ya Mungu ya kufanya kazi. Lakini hii haina athari kwa kazi ya Mungu; maneno Yake yanapofikia kiwango fulani, kwa kawaida mioyo ya watu itabadilika. Katika maisha yao, kila mtu huyakazia macho maneno ya Mungu, na pia wao huanza kutamani sana maneno Yake—na kwa sababu ya mfichuo wa Mungu wa siku zote, wanaanza kujidharau.

11.09.2018

Kuishi Kutekeleza Mapenzi ya Mungu ni Maisha Yaliyo na Maana Zaidi

Kuishi Kutekeleza Mapenzi ya Mungu ni Maisha Yaliyo na Maana Zaidi

I
Ikiwa wampenda Mungu, kuingia katika ufalme kuwa mmoja wa watu wa Mungu
ni maisha yako ya kweli yajayo, maisha ya thamani. Hakuna aliyebarikiwa zaidi.
Leo utaishi kwa ajili ya Mungu, kutekeleza mapenzi ya Mungu.
Mungu anasema maisha yako ni maisha yenye thamani. 

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu


Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu

      Baada ya Liang Zhi kumwamini Mungu, bila kukoma alitafuta kwa shauku, na kujitosa katika kutimiza wajibu wake. Baada ya miaka kadhaa, alichaguliwa kama kiongozi wa kanisa. Wakati alipokuwa akitekeleza wajibu wake kama kiongozi wa kanisa, aligundua kwamba baadhi ya ndugu walikuwa na uwezo zaidi kumliko, ambayo ilimfanya asiwe na furaha kwa kiasi kwamba alikuwa na wivu kwao. Ili kuokoa uso na kulinda hali yake, alishindana nao kwa siri ili kuona ni nani aliyekuwa bora, na alikimbilia umaarufu na hadhi.

11.08.2018

Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili



  • Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili

  • I
  • Mungu alikuja duniani hasa kutimiza
  • ukweli wa "Neno kuwa mwili."
  • (tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa,
  • Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni).
  • Kisha, yote yatatimizwa
  • katika enzi ya Ufalme wa Milenia
  • kuwa ukweli ambao watu wanaweza kuona,
  • ili watu waweze kuona
  • utimizaji hasa kwa macho yao wenyewe. 

Fuata Njia Ya Mungu katika Vitu Vyote Vikubwa na Vidogo

Fuata Njia Ya Mungu katika Vitu Vyote Vikubwa na Vidogo

Ili kufuata njia ya Mungu,
usiache chochote kilicho karibu na wewe,
ama kile kinachofanyika karibu na wewe,
hata kama ni kidogo sana na kidogo.
Ilimradi kifanyike,
kama unahisi kinastahili umakinifu wako ama hapana,
usikiache. 

11.07.2018

Tamko la Kumi na Moja


Mwenyezi Mungu alisema, Je, Mimi ni Mungu wako? Je, Mimi ni Mfalme wako? Je, kweli umeniruhusu Mimi kutawala kama Mfalme ndani yako? Unapaswa kutafakari kujihusu kabisa. Je, hukuchunguza na kukataa mwanga mpya na hata kuthubutu kuacha kuufuata ulipokuwa ukija?

Tamko la Kumi

      Mwenyezi Mungu alisema, Haupaswi kuwa na hofu ya hili na lile. Haidhuru wingi wa matatizo na hatari unazokabili, utabaki thabiti mbele Yangu; usizuiliwe na kitu chochote, ili mapenzi Yangu yaweze kufanyika. Huu utakuwa ni wajibu wako, vinginevyo utakabiliana na ghadhabu Yangu na mkono wangu uta..., na utavumilia mateso ya akili yasio na mwisho.