11.09.2018

Kuishi Kutekeleza Mapenzi ya Mungu ni Maisha Yaliyo na Maana Zaidi

I
Ikiwa wampenda Mungu, kuingia katika ufalme kuwa mmoja wa watu wa Mungu
ni maisha yako ya kweli yajayo, maisha ya thamani. Hakuna aliyebarikiwa zaidi.
Leo utaishi kwa ajili ya Mungu, kutekeleza mapenzi ya Mungu.
Mungu anasema maisha yako ni maisha yenye thamani. 
Ni wale tu walioteuliwa na Mungu wanaoweza kuishi na kusudi.
Heri ninyi mliobarikiwa kiasi hiki kuwa na thamani katika maisha yenu.
II
Mlichaguliwa na Mungu, mkapendwa na kukuzwa naye,
mmefahamu thamani ya maisha.
Hii si kwa sababu ufuatiliaji wenu ni mzuri, ila ni kwa neema ya Mungu;
Mungu alifungua macho yenu, neema Yake iliwaongoza mbele Yake.
Ni wale tu walioteuliwa na Mungu wanaoweza kuishi na kusudi.
Heri ninyi mliobarikiwa kiasi hiki kuwa na thamani katika maisha yenu.
III
Hungeweza kuhisi uzuri wa Mungu au kumpa upendo wa kweli,
kama Hangekutia moyo.
Mungu aliugusa moyo wako, ili uweze kutoa moyo wako Kwake.
Ni wale tu walioteuliwa na Mungu wanaoweza kuishi na kusudi.
Heri ninyi mliobarikiwa kiasi hiki kuwa na thamani katika maisha yenu.
Ni wale tu walioteuliwa na Mungu wanaoweza kuishi na kusudi.
Heri ninyi mliobarikiwa kiasi hiki kuwa na thamani katika maisha yenu.
Ni wale tu walioteuliwa na Mungu wanaoweza kuishi na kusudi.
Heri ninyi mliobarikiwa kiasi hiki kuwa na thamani katika maisha yenu.
kutoka kwa "Jua Kazi Mpya Zaidi ya Mungu na Fuata Nyayo za Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

       Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni