11.08.2018

Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili



  • Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili

  • I
  • Mungu alikuja duniani hasa kutimiza
  • ukweli wa "Neno kuwa mwili."
  • (tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa,
  • Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni).
  • Kisha, yote yatatimizwa
  • katika enzi ya Ufalme wa Milenia
  • kuwa ukweli ambao watu wanaweza kuona,
  • ili watu waweze kuona
  • utimizaji hasa kwa macho yao wenyewe. 
  • Hii ni maana ya kina ya Mungu kuwa mwili.
  • Yaani, kazi ya Roho imekamilika
  • kupitia kwa mwili na neno.
  • Hii ni maana ya kweli ya "Neno kuwa mwili,
  • Neno kuonekana katika mwili."
  • II
  • Ni Mungu tu Anayeweza kuzungumza
  • mawazo ya Roho,
  • na ni Mungu tu katika mwili
  • anayeweza kuzungumza kwa niaba ya Roho.
  • Neno la Mungu linaonekana
  • katika Mungu aliyepata mwili.
  • Mtu yeyote yule ataongozwa na hili,
  • hakuna anayeweza kuzidi hili
  • na kila mtu anaishi ndani ya mipaka hii.
  • Kutokana na tamko hili watu watapata ufahamu;
  • isipokuwa kupitia haya matamshi
  • hakuna atakayeota kuhusu kupokea
  • tamko kutoka mbinguni.
  • Haya ni mamlaka ambayo yameonyeshwa
  • na Mungu kuwa mwili,
  • ili kila mtu ashawishike.

  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

                     Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni