9.26.2018

Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? “Bwana Wangu Ni Nani”


Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? “Bwana Wangu Ni Nani”



        Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Tamko la Thelathini

Tamko la Thelathini

Mwenyezi Mungu alisema, Kati ya binadamu, wakati mmoja Nilifanya muhtasari wa ukaidi na udhaifu wa mwanadamu, na hivyo Nilielewa udhaifu wa binadamu na Nikafahamu vema ukaidi wake. Kabla ya kuwasili kati ya binadamu, Nilikuwa nimekuja kuelewa kitambo furaha na huzuni kati ya binadamu—na kwa sababu ya hili, Ninaweza kufanya kile ambacho binadamu hawezi, na kusema kile ambacho binadamu hawezi, na Mimi hufanya hivyo kwa urahisi sana.

9.25.2018

Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba

  • Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba
  •  
  • I
  • Kwa mamlaka ya Muumba, miujiza yaonekana,
  • ikiwa na mvuto kwa mwanadamu,
  • Mwanadamu hutazama kwa butwaa.
  • Nguvu Zake huleta furaha;
  • mwanadamu hustabishwa, kwa furaha tele. 

Katika Kumwamini Mungu, Unapaswa Kuweka Uhusiano wa Kawaida na Mungu

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

Katika Kumwamini Mungu, Unapaswa Kuweka Uhusiano wa Kawaida na Mungu

Maneno Husika ya Mungu:

Katika kuwa na imani kwa Mungu, ni lazima angalau utatue swala la kuwa na uhusiano wa kawaida na Mungu. Bila uhusiano wa kawaida na Mungu, basi umuhimu wa kumwamini Mungu unapotea. Kuunda uhusiano wa kawaida na Mungu kunapatikana kikamilifu kupitia kuutuliza moyo wako mbele ya Mungu. Uhusiano wa kawaida na Mungu unamaanisha kuweza kutoshuku au kukataa kazi yoyote ya Mungu na kutii, na zaidi ya hayo unamaanisha kuwa na nia sahihi mbele ya Mungu, sio kufikiria kujihusu, daima kuwa na maslahi ya familia ya Mungu kama jambo muhimu zaidi haijalishi kile unachofanya, kukubali kutazamiwa na Mungu, na kukubali mipangilio ya Mungu.

9.24.2018

Tamko la Arubaini

Tamko la Arubaini

Watu hukodolea macho kila mwendo Wangu, kana kwamba Nakaribia kuleta mbingu chini, na wao kila mara hukanganyikiwa na shughuli Zangu, kana kwamba matendo Yangu ni yasiyoeleweka kabisa kwao. Hivyo, wao hufuata nyayo Zangu kwa yote watendayo, wakiogopa sana kwamba watakosea Mbinguni na kutupwa katika "ulimwengu wa wenye kufa." Sijaribu kuwashikilia watu, bali Huufanya upungufu wao lengo la kazi Yangu.

Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa —Insha Juu ya Upendo wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, siku za mwisho

Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa —Insha Juu ya Upendo wa Mungu

Dujuan Japani
Nilizaliwa katika familia fukara katika kijiji cha mashambani. Tangu niwe mtoto, niliishi maisha magumu na nilidharauliwa na wengine. Wakati mwingine sikujua hata kama ningepata chakula changu cha kufuatia, sembuse kumbwe na vitu vya watoto kuchezea. Kwa kuwa familia yangu ilikuwa fukara, nilipokuwa mdogo, ningevaa nguo zilizokuwa zikivaliwa na dadangu mkubwa awali.

9.23.2018

Nitakubali Uishi Moyoni Mwangu Wakati Wote

Umeme wa Mashariki, Nyimbo, ukweli

Nitakubali Uishi Moyoni Mwangu Wakati Wote

Unaandamana nami katika misimu minne.
Nikitazama uso Wako wenye upweke, mawimbi ya huzuni yanajaa moyoni mwangu.
Sijawahi kubembeleza huzuni Wako na sikujali kamwe kuhusu upweke Wako;
nikikumbana na maneno Yako ya bidii tena na tena, mimi ni mkaidi sana.

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"



Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"


       Mwenyezi Mungu alisema, "Kama wewe ni Mkristo wa kweli, basi hakika utaamini kwamba kupanda na kushuka kwa nchi ama taifa lolote hufanyika kulingana na miundo ya Mungu.

9.22.2018

Tamko la Thelathini na Tisa

Tamko la Thelathini na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Kila siku Natembea juu ya ulimwengu, Nikiangalia kwa makini vitu vyote vilivyoumbwa kwa mkono Wangu. Juu ya mbingu ni mahali Pangu pa pumziko, na chini yake ni nchi ambayo Natembea. Natawala kila kitu miongoni mwa vyote vilivyoko, Naamuru kila kitu miongoni mwa vitu vyote, Nikisababisha vyote vilivyoko kufuata hali halisi ya maisha na kutii amri ya asili.

Wimbo wa Kifuasi cha Dhati

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Nyimbo



  • Wimbo wa Kifuasi cha Dhati
  •  
  • I
  • Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
  • Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
  • Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote.
  • Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.

9.21.2018

Katika Kutafuta Njia ya Kweli, Lazima Uwe na Mantiki

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

Katika Kutafuta Njia ya Kweli, Lazima Uwe na Mantiki

Maneno Husika ya Mungu:

Mungu na mwanadamu hawawezi kuzungumziwa kama wa kulingana. Dutu ya Mungu na kazi Yake ni vitu visivyoeleweka na kufahamika kwa mwanadamu. Ikiwa Mungu hawezi kufanya kazi Yake binafsi na kuzungumza maneno Yake katika ulimwengu wa mwanadamu, basi mwanadamu hangeweza kuelewa mapenzi ya Mungu, na kwa hivyo, hata wale waliotoa maisha yao yote kwa ajili ya Mungu hawataweza kupata idhini ya Mungu. Bila kazi ya Mungu, haijalishi jinsi gani mwanadamu anatenda mema, haitahesabika kama chochote, kwa maana fikira za Mungu daima zitakuwa juu ya fikira za mwanadamu, na hekima ya Mungu haieleweki kwa mwanadamu. Na kwa hivyo Nasema kwamba wale ambao “wanaona kwa wazi” Mungu na kazi Yake ni wasioweza kufanikisha chochote, wao wote ni wenye kiburi na wapumbavu.

Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Faith China
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida. Mwishoni mwa Novemba, 2013, mfanyakazi mwenza aliona kwamba mke wangu na mimi tungefanya kelele nyingi sana juu ya vitu vidogo, kwamba kila siku tulikuwa na wasiwasi na huzuni, hivyo alipitisha kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku mwisho kwetu. Kutoka kwa neno la Mwenyezi Mungu, tumejifunza kwamba mbingu na dunia na vitu vyote viliumbwa na Mungu, na kwamba uhai wa mtu amekirimiwa na Mungu.