9.18.2018

Kujua Chanzo cha Upinzani wa Watu kwa Kazi Mpya ya Mungu katika Imani Yao kwa Mungu

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

Kujua Chanzo cha Upinzani wa Watu kwa Kazi Mpya ya Mungu katika Imani Yao kwa Mungu

Maneno Husika ya Mungu:

Sababu kwamba mwanadamu humpinga Mungu inatoka, kwa upande mmoja, katika tabia potovu ya mwanadamu, na kwa upande mwingine, kutokana na kutomfahamu Mungu na kutoelewa kanuni za kazi ya Mungu na mapenzi Yake kwa mwanadamu. Vipengele hivi viwili vinaunganishwa katika historia ya upinzani wa mwanadamu kwa Mungu. Wanafunzi katika imani wanampinga Mungu kwa sababu upinzani kama huu uko ndani ya asili yao, ilhali upinzani dhidi ya Mungu wa wale walio na miaka mingi katika imani unatokana na kutomfahamu Mungu, kuongeza kwa tabia yao potovu.

9.17.2018

Kuukaribisha Uso Wako Unaotabasamu Unapoonekana Mbele Yangu

Umeme wa Mashariki, hukumu, Nyimbo, Mungu

Kuukaribisha Uso Wako Unaotabasamu Unapoonekana Mbele Yangu

Uliniinua kutoka kwa vumbi hadi ndani ya kumbatio Lako.
Uliamsha moyo wangu kutoka kwa usingizi wa usiku mrefu wa giza.
Nikitazama ndani ya ukungu wangu, naona uso Wako unaotabasamu.
Inauita moyo wangu na upendo wangu.
Sikufikiria kamwe ningeuona uso Wako.

Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Yesu, Kanisa


Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Xie Li, Marekani
Zamani nilikuwa mtu ambaye angefuata mitindo ya dunia, nilitaka kujiachilia kwa maisha ya anasa, na nilijali tu kuhusu anasa za mwili. Mara nyingi ningeenda na rafiki zangu kwa KTV usiku mzima, ningeenda matembezi kwa motokaa katikati ya usiku, ningeenda kuvua samaki katika bahari, na kusafiri pande zote nikitafuta vyakula vizuri.

9.16.2018

Tamko la Ishirini na Saba

Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu


Tamko la Ishirini na Saba

Mwenyezi Mungu alisema, Mienendo ya binadamu haijawahi kuugusa moyo Wangu kamwe, wala kuonekana Kwangu kama kitu cha thamani. Machoni mwa mwanadamu, Mimi humweka katika sheria kali kila wakati, na kila mara Nimemweka chini ya mamlaka kali.

Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa “Kwaya ya Injili ya Kichina 13”


Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa “Kwaya ya Injili ya Kichina 13”




1. WANADAMU WAMEUPATA TENA UTAKATIFU WAO WALIOKUWA NAO AWALI
La … la … la … la …
Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo. (Du … ba … ba la ba ba) Miji ya mbingu inacheka kwa furaha (du ba du ba), na falme za nchi zinacheza kwa shangwe (Ba ba ba …) Ni nani wakati huu ambaye haonyeshi furaha? Na ni nani wakati huu ambaye halii? (Du … ba … ba la ba ba) Nchi ni miliki ya mbingu, na mbingu imeungana na nchi.

9.15.2018

Tamko la Ishirini na Tano

Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, mungu

Tamko la Ishirini na Tano

Mwenyezi Mungu alisema, Muda unapita, na kufumba na kufumbua leo imefika. Chini ya uongozi wa Roho Wangu, watu wote wanaishi katikati ya mwanga Wangu, na hakuna anayefikiria yaliyopita ama kuiwekea jana maanani. Nani hajawahi kuishi katika wakati wa sasa? Ni nani ambaye hajapata kupitia katika siku na miezi ya ajabu katika ufalme? Ni nani hajaishi chini ya jua? Ingawa ufalme umeshuka miongoni mwa mwanadamu, hakuna ambaye amepata kupitia ukunjufu wake; mwanadamu anautambua tu kutoka nje, bila kufahamu dutu lake.

Maisha Yetu Sio Bure

Kanisa la Mwenyezi Mungu, mungu, Nyimbo

Maisha Yetu Sio Bure

Maisha yetu sio bure.
Maisha yetu sio bure.
I
Leo tunakutana na Mungu,
tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili,
wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake,
nzuri na ya ajabu.

9.14.2018

Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja





  • Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja
  •  
  • I
  • Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah …
  • Papa hapa, hivi sasa, tunaungana;
  • kusanyiko la watu wampendao Mungu.
  • Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu,
  • furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu.

Tamko la Ishirini na Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli, hukumu

Tamko la Ishirini na Nne

Kuadibu kwangu kunawajia watu wote, lakini pia kunakaa mbali na watu wote. Maisha yote ya kila mtu yamejaa upendo na pia chuki Kwangu, na hakuna mtu ambaye amewahi kunijua na kwa hivyo mtazamo wa mwanadamu Kwangu ni wa sitasita, na hauna uwezo wa kuwa kawaida. Lakini Nimekuwa Nikimlea na kumchunga mwanadamu na ni kwa sababu ya suitafahamu kwake ndiyo maana hana uwezo wa kuona matendo Yangu yote na kuelewa nia Zangu.

9.13.2018

Tofauti Kati Ya Matendo Mazuri ya Nje na Mabadiliko Katika Tabia

Sura ya 6 Aina Mbalimbali za Utofautishaji Ambazo Unafaa Kumiliki katika Kusadiki Kwako kwa Mungu

Tofauti Kati Ya Matendo Mazuri ya Nje na Mabadiliko Katika Tabia

Maneno Husika ya Mungu:
Mabadiliko katika tabia hasa huhusu mabadiliko katika asili ya watu. Mambo ya asili ya mtu hayawezi kuonekana kutoka kwa mienendo ya nje; yanahusisha moja kwa moja thamani na umuhimu wa kuwepo kwake. Yaani, yanahusisha moja kwa moja mitazamo ya mtu kuhusu maisha na maadili yake, mambo yaliyo ndani kabisa ya nafsi yake, na kiini chake. Mtu ambaye hawezi kukubali ukweli hatakuwa na mabadiliko katika hali hizi. Ni kwa kupitia kazi ya Mungu pekee, kuingia kikamilifu katika ukweli, kubadili maadili na mitazamo yake kuhusu kuwepo na maisha, kulinganisha msoni yake na ya Mungu, na kuwa na uwezo wa kutii na kujitoa kabisa kwa Mungu ndio tabia zake zinaweza kusemekana zimebadilika.

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song



Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" Swahili Christian song


Zingatia Majaliwa ya Binadamu

Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,

9.12.2018

Sura ya 23

Umeme wa Mashariki, maombi, ukweli

Ninapopaza sauti Yangu, macho Yangu yanapofyatua moto, Ninaitazama kwa uangalifu dunia nzima, Ninatazama kwa uangalifu ulimwengu mzima. Wanadamu wote wananiomba Mimi, wameinua macho yao kuelekea Kwangu, wakiomba Nipunguze hasira, na kuapa kutoniasi tena.