9.02.2018

Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu





  • Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu

  •  
  • I
  • Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana,
  • vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu.
  • Angalia kandokando yako, si kama awali,
  • kila kitu ni kizuri na kipya.
  • Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya,
  • vyote vimetakaswa.

Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo?

Sura ya 6 Aina Mbalimbali za Utofautishaji Ambazo Unafaa Kumiliki katika Kusadiki Kwako kwa Mungu

Utofautishaji Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo

Maneno Husika ya Mungu:

Mungu aliyepata mwili Anaitwa Kristo, na hivyo Kristo ambaye Anaweza kuwapa binadamu ukweli anaitwa Mungu. Hakuna kitu kikuu kuliko hiki, kwa kuwa Anayo hali ya Mungu, na ana tabia za Mungu, na hekima katika kazi Yake, ambayo haiwezi kupatikana kwa binadamu. Wale wanaojiita Kristo, walakini hawawezi kufanya kazi ya Mungu, ni matapeli. Kristo wa kweli sio tu udhihirisho wa Mungu duniani, bali pia, mwili hasa ulioigwa na Mungu kufanya na kutimiza kazi Yake kati ya wanadamu. Mwili huu si ule unaoweza kubadilishwa na mtu yeyote tu, lakini ambao unaweza kutosha kufanya kazi ya Mungu duniani, na kueleza tabia ya Mungu, na pia kumwakilisha Mungu, na kumpa binadamu maisha.

9.01.2018

Kuuweka tu Ukweli Katika Matendo Ni Kuwa na Uhalisi

Kuuweka tu Ukweli Katika Matendo Ni Kuwa na Uhalisi

Kuwa na uwezo wa kuyaeleza maneno ya Mungu kiwazi haimaanishi kwamba wewe unaumiliki uhalisi. Mambo si rahisi kama ulivyofikiria. Ikiwa unaumiliki uhalisi au la haina msingi kwa kile unachokisema, badala yake inatokana na kile unachoishi kwa kudhihirisha.

Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Muling , Beijing
Agosti 16, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, Beijing ilipata mvua kubwa zaidi katika miaka sitini. Katika mvua hiyo kubwa niliona matendo ya Mungu na kuona jinsi Yeye huwaokoa mwanadamu.

8.31.2018

Nyongeza ya 2: Tamko la Pili

Nyongeza ya 2: Tamko la Pili

Watu wanapomwona Mungu wa vitendo, wanapoishi maisha yao binafsi na, wanapotembea sako kwa bako na, na wanapoishi na Mungu Mwenyewe, wao huweka kando udadisi ambao umekuwa ndani ya mioyo yao kwa miaka mingi sana. Ufahamu wa Mungu uliozungumziwa awali ni hatua ya kwanza tu; ingawa watu wana ufahamu wa Mungu, bado kuna mashaka mengi ya kuchagiza ndani ya mioyo yao: Mungu alitoka wapi?

Tafuteni Maana ya Maisha - "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi" (Video Rasmi ya Muziki)

Tafuteni Maana ya Maisha - "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi" (Video Rasmi ya Muziki)


Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

I
Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo.
Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.

8.30.2018

Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa

Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu, Mungu

Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa

Moyo wangu unapaa nje, unapaa nje.
Nitalipiza upendo wa Mungu, sitakosa kuonyesha hisia tena.
Wakati mmoja nilisoma visivyo mapenzi ya Mungu na sikujali kumhusu Yeye.
Lakini sasa nimeona kuwa Mungu anangoja upendo wangu.
Nitajaribu niwezavyo kumtosheleza Mungu, na kukubali Aupate moyo wangu.
Tazama, maua yote yamechanua kila mahali; na muziki unaimba mawazoni mwangu.

Tamko la Ishirini na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, ushuhuda

Tamko la Ishirini na Sita

Ni nani ameshinda nyumbani Kwangu? Ni nani amesimama kwa ajili Yangu? Ni nani ameteseka kwa ajili Yangu? Ni nani ameweka ahadi yake mbele Zangu? Ni nani amenifuata hadi leo lakini hajakuwa wa kutojali? Mbona wanadamu wote wana ubaridi na hawana hisia? Mbona binadamu ameniacha? Mbona mwanadamu amechoka na Mimi? Mbona hakuna joto katika ulimwengu wa mwanadamu? Nikiwa Zayuni, Nimeonja joto lililo mbinguni, na Nikiwa Zayuni Nimefurahia baraka iliyoko mbinguni. 

8.29.2018

Ufafanuzi wa Matamko ya Ishirini na Nne na Ishirini na Tano

Ufafanuzi wa Matamko ya Ishirini na Nne na Ishirini na Tano

Mwenyezi Mungu alisema, Bila kusoma kwa makini, haiwezekani kugundua kitu chochote katika matamko ya siku hizi mbili; kwa kweli, yangepaswa kunenwa kwa siku moja, lakini Mungu aliyagawanya kwa siku mbili. Hiyo ni kusema, matamko ya siku hizi mbili yanaunda moja kamili, lakini ili iwe rahisi kwa watu kuyakubali, Mungu aliyagawanya kwa siku mbili ili kuwapa watu nafasi ya kupumua.

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu, wokovu

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

Wenzhong , Beijing
Agosti 11, mwaka wa 2012
Usiku wa Julai 21, mwaka wa 2012, tulikuwa na mafuriko makubwa hapa, ambayo hutokea kwa nadra. Ningependa kumwambia kila mtu aliye na kiu ya Mungu kile nilichokipitia kwa kweli na kukiona wakati huo.

8.28.2018

Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Mwenyezi Mungu alisema, Ninachotaka mfanye si nadharia isiyo dhahiri na tupu ambayo Naizungumzia, wala si ya kutofikirika kwa akili ya mwanadamu au ya kutotimizwa kwa mwili wa mwanadamu. Ni nani anaweza kuwa mwaminifu kabisa ndani ya nyumba Yangu? Na ni nani anaweza kutoa yake yote ndani ya ufalme Wangu? Kama si kwa ufunuo wa mapenzi Yangu, je, mngejitolea kuutimiza moyo Wangu? Hakuna ambaye amewahi kuufahamu moyo Wangu, na hakuna ambaye amewahi kutambua mapenzi Yangu.

Hatimaye Nimemwona Mungu



Umeme wa Mashariki, Nyimbo, Mungu

Hatimaye Nimemwona Mungu

Nilikuja katika uwepo Wako siku hiyo, moyo wangu ukiwa umejaa tamaa ya kina.
Macho yangu yalipojawa na machozi, mkono Wako ulinipapasa.
Majonzi na huzuni ulimwagika kutoka moyoni mwangu.
Maisha yangu ya awali yakipita mbele ya macho yangu; majonzi na uchungu vikigongana kwa kutanafusi.