8.25.2018

Sura ya 11


Kila binadamu anapaswa kukubali uchunguzi wa Roho Wangu, anapaswa kuchunguza kwa makini kila neno na kitendo chao, na, zaidi ya hayo, anapaswa kuangalia matendo Yangu ya ajabu.

Tamko la Kumi

Umeme wa Mashariki, ushuhuda, Kanisa, Mungu

Tamko la Kumi

Enzi ya Ufalme ni, hata hivyo, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi Natekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kufanikisha.

8.24.2018

Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu

Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

Nimerejea katika familia ya Mungu, nikiwa mwenye msisimko na furaha.
Nina bahati ya kukujua Wewe Mwenyezi Mungu, nimekupa moyo wangu.
Ingawa nimepitia katika Dunia ya Mateso, nimeona jinsi Mungu anavyopendeza.

Tamko la Kumi Na Nane

Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu

Tamko la Kumi Na Nane

Mwenyezi Mungu alisema, Katika mwako wa umeme, kila mnyama hufichuliwa katika hali yake halisi. Hivyo pia, kama wameangaziwa na mwanga Wangu, wanadamu wamepata tena utakatifu waliokuwa nao wakati mmoja. Oh, ya kwamba dunia potovu ya zamani mwishowe imeanguka na kutumbukia ndani ya maji ya taka na, kuzama chini ya maji, na kuyeyuka na kuwa tope!

8.23.2018

Utofautishaji Kati ya Kazi ya Mungu na Ile ya Mwanadamu

Sura ya 6 Aina Mbalimbali za Utofautishaji Ambazo Unafaa Kumiliki katika Kusadiki Kwako kwa Mungu

Utofautishaji Kati ya Kazi ya Mungu na Ile ya Mwanadamu

Maneno Husika ya Mungu:

Kazi ya Mungu Mwenyewe inahusisha kazi ya wanadamu wote, na pia inawakilisha kazi ya enzi nzima. Hii ni kusema kwamba, kazi ya Mungu mwenyewe inawakilisha harakati na mwelekeo wa kazi yote ya Roho Mtakatifu, ilhali kazi ya mitume inafuata kazi ya Mungu na wala haiongozi enzi, na wala haiwakilishi mwelekeo wa kufanya kazi wa Roho Mtakatifu katika enzi nzima. Huwa wanafanya tu kazi ambayo mwanadamu anapaswa kufanya, ambayo haihusishi kabisa kazi ya usimamizi. Kazi ya Mungu ni mradi ndani ya kazi ya usimamizi. Kazi ya mwanadamu ni wajibu tu wa wanadamu kuweza kutumika na wala haina uhusiano na kazi ya usimamizi. Kwa sababu ya utambulisho na uwakilishaji tofauti wa kazi hii, licha ya ukweli kwamba zote ni kazi za Roho Mtakatifu, kuna tofauti za wazi na bainifu kati ya kazi ya Mungu na kazi ya mwanadamu. Aidha, kiwango cha kazi inayofanywa na Roho Mtakatifu kwa watu wenye tambulisho tofauti inatofautiana. Hizi ni kanuni na mawanda ya kazi ya Roho Mtakatifu.

Nitampenda Mungu Milele

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" (Video Rasmi ya Muziki) from Kanisa la Mwenyezi Mungu on Vimeo.

Nitampenda Mungu Milele


Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.
Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.
Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,
na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini Hujawahi kuniacha.

8.22.2018

Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu Mwenye Mwili na Kazi ya Roho

Sura ya 5 Ukweli Kuhusu Mungu Kupata Mwili

Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu Mwenye Mwili na Kazi ya Roho

Maneno Husika ya Mungu:
Wokovu wa Mungu kwa mwanadamu haufanywi moja kwa moja kupitia njia ya Roho ama kama Roho, kwani Roho Wake hawezi kuguzwa ama kuonekana na mwanadamu, na hawezi kukaribiwa na mwanadamu. Kama Angejaribu kumwokoa mwanadamu moja kwa moja kwa njia ya Roho, mwanadamu hangeweza kupokea wokovu Wake. Na kama sio Mungu kuvalia umbo la nje la mwanadamu aliyeumbwa, mwanadamu hawangeweza kupokea wokovu huu. Kwani mwanadamu hawezi kumkaribia kwa njia yoyote ile, zaidi kama jinsi hakuna anayeweza kukaribia wingu la Yehova. 

8.21.2018

Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, siku za mwisho

Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo

Fang Xin, Beijing
Agosti 15, mwaka wa 2012
Tangu mwaka wa 2007, nilipoikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, ingawa nimeonekana juu juu kuwa na kazi nyingi sana kutekeleza majukumu yangu, sijaupa moyo wangu kwa Mungu, na mara nyingi nimehisi kufungwa kiasi cha msongo wa pumzi na masuala madogo ya familia. Kila wakati ninapowaza kuhusu ukweli kwamba binti yangu tayari ana umri wa miaka thelathini, na angali bado hajapata mwenzi wa kufaa, mimi hulalamika kwa Mungu;

8.20.2018

Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu

Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu

I
Sasa kwa kushangilia sana,
utakatifu wa Mungu na haki
vinakua ulimwenguni kote,
ikitukuka sana kati ya wanadamu wote.
Miji ya mbinguni inacheka,
falme za dunia zinacheza.

Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote


Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu - Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote" from Kanisa la Mwenyezi Mungu on Vimeo.


Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote

La … la la la … la la la….
La … la la la … la la la … la….
Jua la haki lapanda kutoka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia.
Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu.
Watu wanaofuatilia ukweli wote wanampenda Mungu.

8.19.2018

Tamko la Nane

Tamko la Nane

Ufunuo Wangu unapofika kilele chake, na wakati hukumu Yangu inapomalizika, utakuwa wakati ambao watu Wangu wote wanafichuliwa na kufanywa wakamilifu. Nyayo zangu hukanyaga kila pembe ya ulimwengu katika hali ya kutafuta kwa kudumu wale wenye kupendeza nafsi Yangu na wanafaa kwa matumizi Yangu. 

Tamko la Arubaini na Saba

Tamko la Arubaini na Saba

Ili kuwafanya wanadamu wawe wakomavu katika maisha na kuwafanya wanadamu na Mimi tuweze kutimiza matokeo katika udhanifu wetu wa pamoja, Nimewaendeka wanadamu kila mara, Nikiwakubalia kupata chakula na riziki kutoka kwa neno Langu na kupokea utele Wangu kutoka kwake.