1.13.2018

Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video



Safina ya
Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video
Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi.

1.11.2018

Sura ya 44. Kuutoa Ukweli Ndiyo Njia ya Kweli ya Kuwaongoza Wengine

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
watu wa Mungu

Sura ya 44. Kuutoa Ukweli Ndiyo Njia ya Kweli ya Kuwaongoza Wengine 

Ikiwa mnataka kufanya kazi nzuri katika kuwaongoza wengine na kuhudumu kama mashahidi wa Mungu, la muhimu zaidi, lazima uwe na ufahamu wa kina wa kusudi la Mungu katika kuwaokoa watu na kusudi la kazi Yake. Lazima uyaelewe mapenzi ya Mungu na mahitaji Yake mbalimbali ya watu.

1.10.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa


Mwenyezi Mungu alisema, Ni njia gani ambayo Mungu hutumia kumkamilisha mwanadamu? Ni vipengele vipi vinavyojumuishwa? Je, uko tayari kukamilishwa na Mungu? Je, uko tayari kukubali hukumu na kuadibu kwa Mungu? Unajua nini kuhusu maswali haya?

1.09.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Huduma ya Kidini

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Huduma ya Kidini

Tangu mwanzo wa kazi Yake katika ulimwengu mzima, Mungu ameamulia kabla watu wengi kumhudumia Yeye, wakiwemo watu kutoka kila nyanja ya maisha. Kusudio Lake ni kutimiza mapenzi Yake Mwenyewe na kuhakikisha kwamba kazi Yake hapa ulimwenguni imetimia. Hili ndilo kusudio la Mungu katika kuwachagua watu wa kumhudumia Yeye.

1.08.2018

Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)

Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)

Leo, tunafanya ushirika juu ya mada maalum. Kwa kila mmoja wenu, kuna vitu viwili vikuu tu ambavyo mnapaswa kujua, kuvipitia na kuvielewa—na vitu hivi viwili ni vipi? Cha kwanza ni kuingia binafsi kwa watu katika maisha, na cha pili kinahusu kumjua Mungu.

1.07.2018

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
kutenda ukweli

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako


Kwa kutafuta ukweli tu ndipo utapata mabadiliko katika tabia yako: Hili ni jambo unalofaa kulielewa na kulielewa vizuri kabisa. Usipoelewa ukweli vya kutosha, utateleza kwa urahisi na kupotoka. Kutafuta kukua katika maisha lazima utafute ukweli katika kila kitu.

1.06.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,utukufu kwa Mungu
utukufu kwa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

 Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni vitu vipi vya asili ya mwanadamu? Unajua tu kuhusu upotovu wa mwanadamu, uasi, upungufu, dosari, fikra, na dhamira, lakini huwezi kugundua sehemu za ndani za asili ya mwanadamu—unafahamu tu safu ya nje, lakini huwezi kugundua chanzo chake.

1.05.2018

Sura ya 36. Kujijua Mwenyewe Hasa Ni Kujua Asili ya Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu |Sura ya 36. Kujijua Mwenyewe Hasa Ni Kujua Asili ya Binadamu

    La muhimu katika kufikia badiliko la tabia ni kujua asili ya mtu mwenyewe, na hili ni lazima litoke kwa ufunuo na Mungu. Ni katika neno la Mungu tu ambapo mtu anaweza kujua asili yake ya kutia kinyaa, afahamu katika asili yake mwenyewe sumu mbalimbali za Shetani, atambue kuwa yeye ni mjinga na mpumbavu, na atambue dalili dhaifu na hasi katika asili yake mwenyewe.

1.04.2018

Sura ya 12. Mapenzi ya Mungu ni Kuwaokoa Watu kwa Kiwango Kikubwa Sana Kinachowezekana

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
upendo wa Mungu


Sura ya 12. Mapenzi ya Mungu ni Kuwaokoa Watu kwa Kiwango Kikubwa Sana Kinachowezekana


1. Usijishughulishe na Ikiwa Umejaaliwa na Mungu, bali Ujishughulishe na Ufuatiliaji Wako
Watu wengi hawaelewi mapenzi ya Mungu; wanafikiri kuwa kila mtu ambaye ameamuliwa na Mungu ataokolewa bila kuepuka na wanafikiri kuwa kila mtu asiyeamuliwa na Mungu hataokolewa hata wakiyafanya mambo vyema zaidi. Wanafikiri kwamba Mungu hataamua matokeo ya watu kulingana na utendaji na tabia yao.

1.03.2018

Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli


Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli


1. Uhusiano Kati ya Ubinadamu na Uwezo wa Kutenda Ukweli
Watu husema kuwa kutenda ukweli ni vigumu kabisa. Basi mbona watu wengine wanaweza kutenda ukweli? Watu wengine husema ni kwa sababu kwa asili wanaipokea kazi ya Roho Mtakatifu ikifanya kazi juu yao, na pia kwa sababu ni wazuri kiasili.

1.02.2018

Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata

mu
Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada


Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata


1. Kama hali ya Watu Ni Ya Kawaida Inategemea na Kama Wanapenda Ukweli au La
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wameibua suala lifuatalo: Baada ya ushirika wa juu, wanahisi wazi kabisa, wanakuwa na nguvu zaidi, na hawana hisia hasi—lakini hali kama hiyo inabaki tu kwa karibu siku kumi, ambapo baadaye hawawezi kudumisha hali ya kawaida. Suala ni nini? Je mmewahi kujiuliza kinachosababisha hili?

1.01.2018

Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada


Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo


Punde tu watu wanapokuwa na haraka wakati wakiutumiza wajibu wao, hawajui jinsi ya kuuzoea; punde tu wanaposhughulika na mambo, hali yao ya kiroho inakuwa na matatizo; hawawezi kudumisha hali yao ya kawaida. Inawezekanaje kuwa hivi? Unapoombwa kufanya kazi kidogo, haufuati ukawaida, unakosa mipaka, husogei karibu na Mungu na unajitenga mbali na Mungu.