11.03.2018

Tamko la Tano

Tamko la Tano

Milima na mito huenda ikibadilika, vijito hutiririka mbele, na maisha ya mtu ni yenye uvumilivu mdogo kuliko ardhi na anga. Mwenyezi Mungu pekee ndiye maisha ya milele yaliyofufuka milele, katika vizazi hai milele! Vitu vyote na matukio viko katika mikono Yake, Shetani yuko chini ya miguu Yake.

Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu


Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu


    Tangu alipokuwa mdogo, Novo alimwamini Bwana Yesu, kama mama yake tu. Hata kama alisoma Biblia, kuomba, na kuhudhuria mahubiri mara kwa mara, mara nyingi hangeweza kujizuia bali kufuata mielekeo mibaya ya dunia, kutamani raha za mwili, na kudanganya na kusema uwongo…. Alikusudia mara nyingi kuyaacha maisha ya aina hiyo ya kuzunguka katika kutenda dhambi na kukiri, kukiri na kutenda dhambi.

11.02.2018

Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote



  • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  • I
  • Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
  • unaanza kutenda wajibu wako.
  • Katika mpango na utaratibu wa Mungu,
  • unachukua nafasi yako,
  • na unaanza safari ya maisha. 

Anga Hapa ni Samawati Sana

Anga Hapa ni Samawati Sana

Hii hapa anga,
anga iliyo tofauti sana!
I
Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi.
Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu,
Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za mwisho.
Maneno ya Mungu yanaweka wazi ukweli wa upotovu wetu,
tunatakaswa na kukamilishwa na kila aina ya jaribio na usafishaji. 

11.01.2018

Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Miongoni mwa maneno haya yote, hakuna yasiyoweza kusahaulika zaidi kama yale ya leo. Awali maneno ya Mungu yalifichua hali za mwanadamu au siri za mbinguni, lakini tamko hili halifanani na yale ya wakati uliopita.

Tamko la Sabini

Tamko la Sabini

Kwamba siri Yangu imefichuliwa na kuonyeshwa bayana, pasi kufichwa tena, ni kwa njia ya neema Yangu na huruma kabisa. Kwamba neno Langu linaonekana miongoni mwa wanadamu, pasi kufichwa tena, hata zaidi ni kwa neema na huruma Zangu. Ninawapenda wote wanaotumia rasilmali kwa moyo safi kwa ajili Yangu na kujitolea Kwangu.

10.31.2018

Maana ya Ishara ya Ghadhabu ya Mungu

Maana ya Ishara ya Ghadhabu ya Mungu

I
Maonyesho ya Mungu ya ghadhabu Yake yanaashiria kwamba nguvu zote za uovu zitakoma kuwepo;
yanaashiria kuwa nguvu zote za kihasama zitaharibiwa.
Huu ndio upekee wa tabia ya Mungu ya haki, na ni upekee wa ghadhabu ya Mungu.

Tamko la Sabini na Saba

Tamko la Sabini na Saba

Mwenyezi Mungu alisema, Kutokuwa na hakika ya maneno Yangu ni sawa na kushikilia mtazamo wa kukanusha kuelekea matendo Yangu. Yaani, maneno Yangu yamebubujika kutoka ndani ya Mwanangu, lakini hamyatilii maanani. Ninyi hamko makini!

10.30.2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi



Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi

      Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …

      Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?, Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu



Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, Injili


  • Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri
  • I
  • Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
  • Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
  • Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
  • Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
  • Wewe ndiye Unayenipa upendo. 

10.29.2018

Kutembea Katika Njia ya Kumpenda Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, Injili

 Kutembea Katika Njia ya Kumpenda Mungu

Sijali kuhusu njia iliyo mbele;
nafanya tu mapenzi ya Mungu kama wito wangu.
Wala sijali kuhusu maisha yangu ya usoni.
Kwa kuwa nimechagua kumpenda Mungu, nitakuwa mwaminifu hadi mwisho. 

Tamko la Nne

Tamko la Nne

Daima tutakuwa tukiangalia na kusubiri, kuwa na utulivu katika roho na kutafuta kwa moyo safi. Chochote kitakachotufikia, tusishiriki kwa upofu. Twahitajika tu kuwa kimya mbele ya Mungu na daima kushiriki naye, na kisha nia Yake itafichuliwa kwetu.