- Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri
- I
- Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
- Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
- Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
- Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
- Wewe ndiye Unayenipa upendo.
- Wewe ndiye Unayenijali.
- Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
- Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
- Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.
- Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
- Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana.
- Usisahau kwenda na upendo wangu,
- pamoja na upendo wangu.
- II
- Bata bukini wa mwituni wawili wawili,
- wakipaa mbali zaidi.
- Je, watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu?
- Ee tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako.
- Naweza kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto.
- Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
- Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
- Nitakupa jibu linalokufurahisha.
- Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
- Jinsi ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka,
- kuwa huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu.
- Ee mpenzi wangu, tafadhali nisubiri.
- Nitapaa mbali na raha ya hii dunia.
- Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
- Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
- Nitakupa jibu linalokufurahisha.
- Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
- Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
- kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Sikiliza zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni