10.24.2018

Tamko la Ishirini na Tatu

Tamko la Ishirini na Tatu

Kwa ndugu wote ambao wameisikia sauti Yangu: Mmeisikia sauti ya hukumu Yangu kali na mmevumilia mateso yaliyokithiri. Hata hivyo, mnapaswa kujua kwamba katika sauti Yangu kali kumejificha nia Zangu! Ninawafundisha nidhamu ili muweze kuokolewa.

10.23.2018

Tamko la Ishirini na Saba

Tamko la Ishirini na Saba

Mungu mmoja wa kweli anayetawala vitu vyote katika ulimwengu—Kristo mwenyezi! Huu ndio ushuhuda wa Roho Mtakatifu, ni ushahidi dhahiri! Roho Mtakatifu anafanya kazi kuwa na ushuhuda kila mahali, ili kusiwe na mtu yeyote mwenye shaka yoyote. Mfalme wa ushindi, Mwenyezi Mungu! Yeye ameushinda ulimwengu, Ameishinda dhambi na kufanikisha ukombozi!

Tamko la Tatu

Tamko la Tatu

Mfalme wa ushindi hukaa juu ya kiti Chake cha enzi cha utukufu. Yeye Ametimiza ukombozi na kuongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu. Yeye hushikilia ulimwengu mikononi Mwake kwa hekima Yake ya uungu na uweza Yeye Amejenga Uyahudi na kuifanya imara. Pamoja na uadhama Wake Yeye huhukumu dunia ya maovu; Yeye huhukumu mataifa yote na watu wote, ardhi na bahari na vitu vyote hai juu yao, pia wale ambao wamelewa kwa divai ya uzinzi.

10.22.2018

Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi



  • Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

  • I
  • Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi.
  • Sasa nina jibu kwa hilo.
  • Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe,
  • kutafuta hadhi tu na umaarufu.
  • Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema,
  • lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.

Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

I
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
ni wajibu wetu, jukumu letu
kutoa akili zetu na miili yetu
kwa kutimiza agizo la Mungu. 

10.21.2018

Tamko la Thelathini

Tamko la Thelathini

Amkeni, ndugu! Amkeni, kina dada! Siku Yangu haitakawishwa; wakati ni uhai, na kuushika wakati ni kuokoa uhai! Wakati hauko mbali sana! Mkifanya mitihani ya kuingia katika chuo kikuu na msipite, mnaweza kujaribu tena na mubukue kwa ajili ya mtihani. Hata hivyo, siku Yangu haitakuwa na ucheleweshaji kama huo.

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (5) | Kufahamu Umuhimu wa Mungu Kupata Mwili Mara Mbili



"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (5) | Kufahamu Umuhimu wa Mungu Kupata Mwili Mara Mbili


      Kupata mwili wa Mungu wa kwanza Alipigiliwa misumari msalabani, hivyo kuhitimisha kazi ya kuwakomboa wanadamu. Katika siku za mwisho, kupata mwili wa Mungu wa pili anaonyesha ukweli na Anafanya kazi Yake ya hukumu na kuadibu, Akiwaokoa wanadambu kabisa kutoka kwa miliki ya Shetani.

10.20.2018

Utajiri wa Maisha

Umeme wa Mashariki, Roho Mtakatifu, wokovu

Utajiri wa Maisha

Wang Jun Mkoa wa Shandong
Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na machozi, nahisi kwamba nimenufaika pakubwa kutoka kwa uzoefu wa ukandamizaji huu.

Tamko la Hamsini na Nane

Tamko la Hamsini na Nane

Ukiielewa nia Yangu, utaweza kuufikiria mzigo Wangu na unaweza kupata mwanga na ufunuo, na kupata ufunguliwaji na uhuru, kuuridhisha moyo Wangu, kuyaruhusu mapenzi Yangu kwa ajili yako kutekelezwa, kuwaletea watakatifu wote ujenzi wa maadili, na kuufanya ufalme Wangu duniani kuwa imara na thabiti. 

10.19.2018

Kwa Imani ya Kesho

Kanisa la Mwenyezi Mungu, upendo wa Mungu, ukweli

Kwa Imani ya Kesho

Mwenyezi Mungu mwenye haki! Matendo Yako ni ya ajabu.
Maneno Yako yanaonyesha uweza Wako, yakitushinda kabisa.
Mwenyezi Mungu mwenye haki! Mbele Yako twaja, kuona jinsi tulivyo wadeni.
Hatukufuata mapenzi Yako kamwe; mbele Yako tumejawa na aibu.
Lakini unatuonyesha kusudi la maisha. 

Tamko la Thelathini na Mbili

Tamko la Thelathini na Mbili

Mwanga ni nini? Katika siku za nyuma kwa kweli mliuona mbadiliko wa kazi ya Roho Mtakatifu kama mwanga. Kuna mwanga wa kweli wakati wote, unaojumuisha ninyi kupata kile Mungu alicho kupitia kwa kunikaribia na kushirikiana na Mimi;

10.18.2018

"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)



"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)


        Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana.