10.22.2018

Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi



  • Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

  • I
  • Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi.
  • Sasa nina jibu kwa hilo.
  • Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe,
  • kutafuta hadhi tu na umaarufu.
  • Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema,
  • lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.
  • Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa,
  • sina ukweli au uhalisi.
  • Mila na sheria, zikifungia imani yangu;
  • sikubaki na kitu ila utupu.
  • Kushindwa kuishi kama binadamu,
  • sistahili upendo wa Mungu kwa ajili yangu.
  • II
  • Moyo wangu umeamshwa sasa,
  • ukiniambia ni lazima nilipe upendo wa Mungu.
  • Najichukia kwa kuwa sikuwa na dhamira,
  • kutomtii Mungu na kuvunja moyo wake.
  • Kamwe sijawahi kuutunza moyo wa Mungu;
  • kamwe sikuwahi kujishughulisha na maneno Yake.
  • Bila dhamiri, kutokuwa na hisi,
  • ni jinsi gani naweza kuorodheshwa kama mtu?
  • Hukumu ya Mungu hunifanya nione,
  • nilikuwa nimepotoshwa na Shetani kabisa.
  • Maovu, dunia hii, iliyojaa mitego,
  • Ukweli ndio muumini lazima achague.
  • Ee Mungu mpenzi, Unanipenda sana,
  • kufanya kila Unaloweza kunifanya niokolewe.
  • Kile Ulichonifanyia, nitakiweka kwa kumbukumbu!
  • Kamwe sitasahau milele.
  • Utunzaji wa moyo wa Mungu, hayo ni mapenzi yangu yote.
  • Nina kusudio la kufuata ukweli.
  • Najishughulisha kugharimia rasilmali kwa ajili ya Mungu,
  • kujitoa mwenyewe kulipa upendo wake,
  • kujitoa mwenyewe kulipa upendo wake.
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

            Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu nyimbo za injili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni