10.16.2018

Tamko la Mia Moja na Nane

Tamko la Mia Moja na Nane

Ndani Yangu, wote wanaweza kupata raha na wote wanaweza kuwa huru. Wale walio nje Yangu hawawezi kupata uhuru na furaha kwa sababu Roho Wangu hayuko pamoja na watu hawa. Watu hawa wanaitwa wafu wasio na roho. Nami Nawaita wale walio ndani Yangu watu walio hai wenye roho. Wao ni Wangu, na watarudi kwenye kiti Changu cha enzi.

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God


Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God


Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako,
utaelewa kile kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kile kilicho ndani Yake
kwa imani na usikivu wako wote.

10.15.2018

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Umeme wa Mashariki, Roho Mtakatifu, ukweli

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Jinru    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu.

Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa



  • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  • I
  • Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
  • kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
  • Atamwokoa na kumpata kabisa;
  • kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
  • Atamfikisha katika hatima sahihi. 

10.14.2018

Umo Moyoni Mwangu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili, Nyimbo

 Umo Moyoni Mwangu

I
Ninapotenda wajibu wangu mbali na nyumbani,
nawaza kukuhusu, na ninakuomba.
Kupitia kusoma maneno Yako,
nimekuja kukuamini zaidi na moyo wangu unapozwa, oo.
Kukushuhudia Wewe, ninapitia machungu mengi,
na najua hata vizuri zaidi jinsi Unavyopendeza.
Kukufuata, nitatembea milele hadi mwisho. 

Tamko la Kumi na Mbili

Umeme wa Mashariki, Mungu, Kanisa

Tamko la Kumi na Mbili

Wakati umeme unatoka Mashariki—ambapo pia ni wakati hasa Naanza kunena—wakati umeme unakuja, mbingu yote inaangaziwa, na nyota zote zinaanza kubadilika. Inaonekana kana kwamba jamii nzima ya binadamu imesafishwa na kupangwa vizuri.

10.13.2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Umeme wa Mashariki, Injili, ukweli

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Xiaoxue, Malesia
Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na kufanikiwa, walipokuwa na umri wa miaka miwili, nilijadiliana na mume wangu juu ya kuwatafutia shule nzuri ya chekechea.

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena



"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena


      Katika karne zote tangu Bwana Yesu alipofufuka na Akapaa mbinguni, sisi waumini tumetamani sana kwa hamu kurudi kwa Yesu Mwokozi. Watu wengi wanaamini kwamba utakuwa mwili wa kiroho wa Yesu aliyefufuka ambao utaonekana kwetu wakati Bwana atarudi.

10.12.2018

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Umeme wa Mashariki, Kanisa, upendo wa Mungu

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang
Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo na kuepuka maisha ya kijijini ya umasikini na hali ya kuwa nyuma. <

Wimbo wa Mapenzi Matamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, Injili


  • Wimbo wa Mapenzi Matamu 

  • I
  • Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako.
  • Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
  • Kukutunza hukoleza moyo wangu;
  • kukutumikia na mawazo yangu yote.
  • Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako;
  • mimi hufuata nyayo zako za mapenzi. 

10.11.2018

Ee Mungu, Unajua Nakukosa Wewe

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo,

 Ee Mungu, Unajua Nakukosa Wewe

Moyo wangu unakupenda sana. Lakini nahisi kuwa sifai upendo Wako.
Mnyonge sana sifai kuwa katika uwepo Wako, nina hofu sana na wasiwasi!
Naweza tu kuamua; kutoa nafsi yangu yote Kwako.
Nitateseka kwa ajili Yako, nipipitie mateso yote, hadi pumzi ya mwisho ya maisha yangu. 

Matamshi ya Kristo | Sura ya 10


Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi nyingine za wakati wa ujenzi wa kanisa mara mmoja na Hakuwahi tena kusema hata neno moja kuuhusu. Hii hasa ni maana ya msingi ya “Mungu Mwenyewe” ambaye daima ni mpya na kamwe si mzee. Hata kama vitu vilifanywa vizuri katika siku za zamani, kwa kadri vilivyo sehemu ya enzi iliyopita, Mungu anaviweka vitu kama hivyo katika kundi la vitu vinavyotokea katika wakati kabla ya Kristo, huku wakati wa sasa ukijulikana kama wakati wa “baada ya Kristo[a].”