10.12.2018

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Umeme wa Mashariki, Kanisa, upendo wa Mungu

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang
Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo na kuepuka maisha ya kijijini ya umasikini na hali ya kuwa nyuma. <

Wimbo wa Mapenzi Matamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, Injili


  • Wimbo wa Mapenzi Matamu 

  • I
  • Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako.
  • Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
  • Kukutunza hukoleza moyo wangu;
  • kukutumikia na mawazo yangu yote.
  • Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako;
  • mimi hufuata nyayo zako za mapenzi. 

10.11.2018

Ee Mungu, Unajua Nakukosa Wewe

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo,

 Ee Mungu, Unajua Nakukosa Wewe

Moyo wangu unakupenda sana. Lakini nahisi kuwa sifai upendo Wako.
Mnyonge sana sifai kuwa katika uwepo Wako, nina hofu sana na wasiwasi!
Naweza tu kuamua; kutoa nafsi yangu yote Kwako.
Nitateseka kwa ajili Yako, nipipitie mateso yote, hadi pumzi ya mwisho ya maisha yangu. 

Matamshi ya Kristo | Sura ya 10


Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi nyingine za wakati wa ujenzi wa kanisa mara mmoja na Hakuwahi tena kusema hata neno moja kuuhusu. Hii hasa ni maana ya msingi ya “Mungu Mwenyewe” ambaye daima ni mpya na kamwe si mzee. Hata kama vitu vilifanywa vizuri katika siku za zamani, kwa kadri vilivyo sehemu ya enzi iliyopita, Mungu anaviweka vitu kama hivyo katika kundi la vitu vinavyotokea katika wakati kabla ya Kristo, huku wakati wa sasa ukijulikana kama wakati wa “baada ya Kristo[a].” 

10.10.2018

Neno la Mungu | Sura ya 9

Kanisa la Mwenyezi Mungu, neema, mungu

      Katika mawazo ya watu, Mungu ni Mungu, na mwanadamu ni mwanadamu. Mungu haneni lugha ya mwanadamu, wala mwanadamu hawezi kunena lugha ya Mungu, na kwa Mungu, madai ya mwanadamu Kwake ni rahisi, ilhali matakwa ya Mungu kwa mwanadamu hayafikiki na hayafikiriki kwa mwanadamu. Ukweli, hata hivyo, ni kinyume kabisa: Mungu anataka tu “asilimia 0.1” ya mwanadamu. Hili si la kushangaza tu kwa kila mtu, lakini pia huwafanya wahisi kukanganyikiwa sana, kama kwamba wote wamechanganyikiwa. 

Best Swahili Worship Song "Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu (Swahili Dubbed)

Best Swahili Worship Song "Nitampenda Mungu Milele" | Kusogea Mbele na Upendo wa Mungu (Swahili Dubbed)


I
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kukurudia Wewe.
Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sana.
Mara nyingi nilitoa machozi na kuhuzunika sana,
mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.

10.09.2018

Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa




  • Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa

  • I
  • Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
  • Amekuwa akifichua kwao
  • Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho,
  • bila kukoma, kila wakati. 

Matamshi ya Mungu | Sura ya 8

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, hukumu

Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa Roho, sauti Yake huelekezwa kwa wanadamu wote. Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa mwanadamu, sauti Yake huelekezwa kwa wote wafuatao uongozi wa Roho Wake. Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa nafsi ya tatu (kile ambacho watu hutaja kama mtazamaji), Anaonyesha neno Lake moja kwa moja kwa watu ili watu wamwone kama mtoa maoni, na huonekana kwamba kutoka kinywani Mwake hutoka mambo yasiyo na kikomo ambayo mwanadamu hayajui, mambo ambayo mwanadamu hawezi kuelewa.  

10.08.2018

Katika Mapana na Marefu, Mwaminifu Hadi Kifo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo

Katika Mapana na Marefu, Mwaminifu Hadi Kifo

Kutoka mbinguni hadi duniani, Akijificha katika mwili.
Akifanya kazi miongoni mwa wanadamu, katika upepo na mvua.
Ukachukua njia ngumu, ukafungua enzi mpya.
Kumkomboa mwanadamu, kutoa maisha Yako na kumwaga damu.
Upepo na mvua, miaka mingi sana. Kutelekezwa na kila mwanadamu. 

Waumini katika Mungu Wanapasa Kujiandaa kwa Ajili ya Hatima Yao kwa Matendo Mema ya Kutosha.

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

Waumini katika Mungu Wanapasa Kujiandaa kwa Ajili ya Hatima Yao kwa Matendo Mema ya Kutosha

Maneno Husika ya Mungu:

Huruma Zangu zinaonyeshwa kwa wale wanaonipenda Mimi na kujinyima wenyewe. Na adhabu inayoletwa kwa waovu ni thibitisho hasa la tabia Yangu ya haki na, zaidi sana, ushuhuda wa hasira Yangu. Msiba utakapokuja, njaa na baa litawakumba wale wote wanaopinga Mimi na watalia kwa uchungu. Wale wote ambao wametenda aina zote za uovu, lakini ambao wamenifuata kwa miaka mingi, hawataepuka kulipia dhambi zao; wao pia, wakijipata katika maafa, ambayo yameonekana kwa nadra katika mamilioni ya miaka, wataishi katika hali ya kila siku ya taharuki na woga. Na wale wafuasi Wangu ambao wamekuwa waaminifu Kwangu pekee watafurahi na kushangilia ukuu Wangu. Watakuwa na ridhaa isiyo na kifani na kuishi kwa raha ambayo Sijawahi kuwapa wanadamu. Kwa sababu Ninathamini matendo mema ya wanadamu na kuchukia matendo yao maovu.

10.07.2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (3) - Tofauti Kati ya Ubinadamu wa Kawaida wa Kristo na Ubinadamu wa Wanadamu wapotovu



"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (3) - Tofauti Kati ya Ubinadamu wa Kawaida wa Kristo na Ubinadamu wa Wanadamu wapotovu


       Mungu anapata mwili kumwokoa mwanadamu na, kutoka nje, Mungu mwenye mwili Anaonekana kuwa mtu wa kawaida. Lakini je, wajua tofauti muhimu kati ya ubinadamu wa kawaida wa Mungu mwenye mwili na ubinadamu wa wanadamu wapotovu? 

Matamshi ya Mungu | Sura ya 6


Binadamu wanapigwa bumbuazi kwa sababu ya matamshi ya Mungu wanapotambua kwamba Mungu amefanya kitendo kikubwa katika ulimwengu wa kiroho, kitu ambacho mwanadamu hawezi na ambacho Mungu Mwenyewe pekee ndiye Anaweza kufanikisha. Kwa sababu hii, Mungu mara tena anawasilisha maneno ya huruma kwa wanadamu. Mioyo ya watu inapojaa ukinzani, ikishangaa: “Mungu ni Mungu asiye na huruma au upendo, lakini badala yake Mungu aliyejitolea kuwaangusha binadamu;