- Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa
- I
- Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
- Amekuwa akifichua kwao
- Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho,
- bila kukoma, kila wakati.
- Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
- Mungu huzungumza na kufanya kazi
- ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
- Havijawahi kufunikwa
- wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa
- bila kusita,
- Kiini na tabia ya Mungu,
- nafsi Yake na miliki yake,
- vinafichuliwa Anapofanya kazi na
- kushirikiana na mwanadamu.
- II
- Mungu anatumaini mwanadamu aweza kumwelewa,
- ajue kiini Chake, na tabia,
- ambavyo Hataki vichukuliwe kama siri za milele.
- Wala Hataki mwanadamu amwone Yeye kama kitendawili
- ambacho hakiwezi kutatuliwa.
- Havijawahi kufunikwa
- wala kufichwa kamwe vimeachiliwa bila kusita,
- Kiini na tabia ya Mungu,
- nafsi Yake na miliki yake,
- vinafichuliwa Anapofanya kazi na
- kushirikiana na mwanadamu.
- III
- Ni wakati tu binadamu amemjua Mungu
- ndipo anaweza kujua njia ya kwendelea,
- kustahili kuongozwa na Mungu.
- Ataishi chini ya mamlaka Yake
- na kuishi katika mwanga na baraka Zake.
- Havijawahi kufunikwa
- wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa
- bila kusita,
- Kiini na tabia ya Mungu,
- nafsi Yake na miliki yake.
- Havijawahi kufunikwa
- wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa
- bila kusita,
- Kiini na tabia ya Mungu,
- nafsi Yake na miliki yake,
- vinafichuliwa Anapofanya kazi na
- kushirikiana na mwanadamu.
- kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Soma zaidi Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni