Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi
Mwenyezi Mungu alisema, Mtu huwa na tatizo lipi anapopenda kupeana visingizio? Ni nini kiini chake? Yeye ni mkaidi. Watu wakaidi hawakubali ukweli kwa urahisi; sio watiifu, na wanaposikia neno moja ambalo haliambatani na dhana, mitazamo, wanayopenda, hisia au mihemko yao wenyewe, basi hawalikubali; husema, “Sijali iwapo liko sahihi au ni mbaya, ni nani aliyelinena, lilinenwa katika muktadha gani, au iwapo linahusiana na majukumu na wajibu wangu; siyajali mambo haya. Kuziridhisha hisia zangu mwenyewe ni suala muhimu .” Hii sio ukaidi? Ukaidi huwafanya watu kupoteza nini mwishowe? Huifanya vigumu kwao kupata ukweli.