Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Vitendo,baraka. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Vitendo,baraka. Onyesha machapisho yote

6.20.2018

Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa

Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa

Hebu twende nje ya maneno ya Mungu na tuzungumze kidogo juu ya masuala yanayohusu maisha yetu, ili maisha yetu yasitawi, na tufikie matumaini ya Mungu kwetu. Hasa, pamoja na ujaji wa leo—wakati wa kila mmoja kuainishwa kulingana na aina, na wa kuadibu—kuna haja kubwa ya kuyalenga mambo muhimu na kumakinikia "maslahi ya pamoja." Haya ni mapenzi ya Mungu, na kile kinachopaswa kutimizwa na watu wote.