Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote

6.22.2018

24. Niliona Kimo Changu cha Kweli kwa Dhahiri

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Roho Mtakatifu

24. Niliona Kimo Changu cha Kweli kwa Dhahiri

Ding Xiang    Jijini Tengzhou, Mkoa wa Shandong
Katika mkutano wa viongozi wa kanisa niliowahi kuhudhuria, kiongozi wa kanisa aliyekuwa amechaguliwa hivi karibuni alisema: “Sina kimo cha kutosha. Mimi ninahisi sifai kuutimiza wajibu huu. Mimi ninahisi kushinikizwa na vitu vingi sana, kwa kiwango kwamba mimi sijaweza kupata usingizi kwa siku na usiku kadhaa mtawalia....” Wakati huo, mimi nilikuwa nimebeba mizigo katika kumfuatilia Mungu, kwa hivyo niliwasiliana naye: “Kazi zote hufanywa na Mungu; mwanadamu hushirikiana kidogo tu. 

5.30.2018

Umeme wa Mashariki | 45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika
Changkai Mji wa Benxi, mkoa wa Liaoning
Maneno ya kawaida "Watu wazuri humaliza wakiwa wa mwisho" ni ambayo mimi binafsi ninayafahamu sana. Mimi na mume wangu sote tulikuwa hasa watu wasio na hatia: Wakati wa masuala yaliyohusisha faida au hasara yetu binafsi, hatukuwa aina ya watu wa kubishana na kusumbuana na wengine.

5.27.2018

46. Maana halisi ya "Uasi dhidi ya Mungu"


46. Maana halisi ya "Uasi dhidi ya Mungu"

Zhang Jun    Mji wa Shenyang, Mkoa wa Liaoning
Katika siku za nyuma, niliamini kuwa "uasi dhidi ya Mungu" ilimaanisha kumsaliti Mungu, kuacha kanisa, au kuutelekeza wajibu wa mtu. Nilidhani tabia hizi hufanyiza uasi. Kwa hiyo, wakati wowote niliposikia kuhusu watu wakihusika katika tabia hizo, ningejikumbusha kwamba sipaswi kuasi dhidi ya Mungu kama walivyofanya.