6.08.2018

Latest Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | Ufunuo Mpya Zaidi wa Roho Mtakatifu

Latest Gospel Movie Swahili "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | Ufunuo Mpya Zaidi wa Roho Mtakatifu


    Lin Bo'en ni mhubiri mzee ambaye amemwani Bwana kwa miongo mingi. Tangu alipomkubali Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alihukumiwa, akatengwa, na akafukuzwa kutoka kwa jumuiya ya kidini na wachungaji na wazee wa kanisa, nguvu zinazompinga Kristo.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Arubaini na Moja

Tamko la Arubaini na Moja

Mwenyezi Mungu alisema,  Wakati mmoja Nilianza shughuli kubwa miongoni mwa wanadamu, lakini hawakutambua, kwa hivyo ilinibidi Nitumie neno Langu ili kuwafichulia. Na hata hivyo, mwanadamu bado hangeweza kuyaelewa maneno Yangu, na akasalia kutojua malengo ya mpango Wangu.

6.07.2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba


Mwenyezi Mungu alisema, Sauti Yangu inatoka kama radi, ikitia nuru roboduara zote nne na dunia nzima, na katikati ya radi na umeme, binadamu wanaangushwa chini. Hakuna mwanadamu aliyewahi kusimama imara katikati ya radi na umeme: Wanadamu wengi wanaogopa sana kuja kwa mwangaza Wangu na hawajui cha kufanya. Wakati mwangaza hafifu unaanza kuonekana Mashariki, watu wengi, wakiongozwa na huu mng’ao dhaifu, wanaamshwa mara moja kutoka kwa njozi zao.

"Imani katika Mungu" (6) - Imani ya Kweli katika Mungu Inamaanisha Nini?

"Imani katika Mungu" (6) - Imani ya Kweli katika Mungu Inamaanisha Nini?


    Watu wengi wanaamini kwamba imani katika Mungu ni imani katika Biblia, na kwamba kumfanyia Bwana kazi kwa bidii ni uhalisi wa kuamini katika Mungu. Hakuna mtu katika ulimwengu wa dini ana uwezo wa kuelewa kabisa imani ya kweli katika Mungu ina maana gani. Mwenyezi Mungu anasema, “‘Imani katika Mungu’ inamaanisha kuamini kuwa kuna Mungu; hii ndiyo dhana rahisi zaidi ya imani katika Mungu.

6.06.2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha


Mtu Atarudi Kule Alikotoka.
Hakuna yeyote anayeweza kushinda ugonjwa na kifo.
Hakuna yeyote anayeweza kubadilisha sheria za uzee na udhaifu wa mwili au akili.
………………………………
"Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii?"

6.05.2018

Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?

Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?


    Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya kumwamini Mungu Chen Xi alisoma maneno ya Mungu kwa wingi na akaja kuelewa kiasi fulani cha ukweli.

Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa

Mwenyezi Mungu alisema, Wengine Je, mna uzoefu wowote wa kuwa waaminifu? (Ni vigumu kuwa mwaminifu). Na mbona ni vigumu? (Ninapotafakari juu yangu kila siku, nagundua kuwa najua vyema kujifanya, na kwamba nimesema mengi ambayo si sahihi. Wakati mwingine, maneneo yangu yatakuwa na hisia na motisha, wakati mwingine, nitaunda ujanja fulani ili kutimiza malengo yangu, nikisema ukweli nusu ambao haulingani na mambo ya hakika;

6.04.2018

"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?

"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?


    Waumini wengi huamini kwamba mradi tunalilinda jina la Bwana, kuomba mara kwa mara, kusoma Biblia na kuwa na mikutano, na mradi sisi huyaacha vitu, hutumia rasilmali na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Bwana, basi hii ni imani ya kweli katika Bwana, na tutaweza kunyakuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi.

Sura ya 21. Ukimbizaji Ukweli Tu Ndiyo Imani ya Kweli katika Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli, Umeme wa Mashariki
Sura ya 21. Ukimbizaji Ukweli Tu Ndiyo Imani ya Kweli katika Mungu


Sura ya 21. Ukimbizaji Ukweli Tu Ndiyo Imani ya Kweli katika Mungu


Mwenyezi Mungu alisema, Kama huna uzoefu wa kitu, basi wewe hakika hutajua jinsi ya kukisimamia na utakisimamia vibaya. Hata kama unakisimamia, na ufikiri: “Mimi nimeeleza kiasi haya yote na nikasema mengi kulihusu. Wao pia wamelisikiza mara nyingi. Nimeongea sana kulihusu. Yote ambayo nimeshiriki kuhusu tatizo hili kimsingi ni kweli, sivyo?”lakini kwa kweli, yote tu ni mafundisho, na wewe unatumia mafundisho kutatua tatizo. Mbona unasema ni mafundisho? Kila neno unalosema ni sahihi, lakini kile unachosema hakijaelekezwa kwa tatizo na hakifikii kiini cha tatizo hili–ambapo tatizo hili lipo, shida yake ni nini, kwa nini hawa watu wanaweza kufanya mambo kama hayo au ni hali gani imejitokeza ndani yao.

6.03.2018

75. Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki



75. Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Xiangwang Mkoa wa Sichuan
Ninahisi kuadibiwa sana moyoni mwangu kila mara ninapoona kwamba maneno ya Mungu yanasema: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania sifa na mali, kuuana—haya yote yataisha lini? Mungu amezungumza maelfu na mamia ya maneno, ilhali hakuna hata mmoja ambaye amejifahamu.

“Bwana Wangu Ni Nani” – Ni Wale Tu Wanaofuata Nyayo za Mungu Ndio Wanaweza Kufikia Njia ya Uzima wa Milele | Filamu za Injili (Movie Clip 5/5)

“Bwana Wangu Ni Nani” – Ni Wale Tu Wanaofuata Nyayo za Mungu Ndio Wanaweza Kufikia Njia ya Uzima wa Milele | Filamu za Injili (Movie Clip 5/5)


    Biblia imejaa maneno ya Mungu na vile vile uzoefu na ushuhuda kutoka kwa mwanadamu ambao unaweza kutupa uhai na ni yenye manufaa sana kwetu. Bwana Yesu alisema, "Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima: Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, bado ataishi: Na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele."

6.02.2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (1) - Je, Kuna Maneno Mengine ya Mungu Kando ya Yale Yaliyo kwenye Biblia?

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (1) - Je, Kuna Maneno Mengine ya Mungu Kando ya Yale Yaliyo kwenye Biblia?


    Biblia inasema, "Kisha nikaona katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, kilichofungwa kwa mihuri saba" (Ufunuo 5:1). "Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa;