3.25.2018

Umeme wa Mashariki | "Ivunje Laana" (2) - Bwana Atakaporudi, Ataonekanaje kwa Wanadamu?

Umeme wa Mashariki | "Ivunje Laana" (2) - Bwana Atakaporudi, Ataonekanaje kwa Wanadamu?



Siku za mwisho tayari zimefika, na waumini wengi wanatamani Bwana arudi na kuwachukua kwenda katika ufalme wa mbinguni. Lakini unajua Bwana atakavyoonekana kwetu Atakaporudi? Je, kweli itakuwa kama tunavyofikiria, kwamba Ataonekana wazi, moja kwa moja Akishuka juu ya wingu? Mwenyezi Mungu alisema, "Je, ungependa kumwona Yesu?

Ni kwa Nini Ulimwengu wa Kidini Wenye Wayowayo kwa Hasira Unaipinga na Kuishutumu Kazi Mpya ya Mungu Daima?

Mara mbili ambapo Mungu amepata mwili kutembea duniani na kufanya kazi ya kumwokoa mwanadamu Amekumbana na upinzani mkubwa, shutuma na mateso ya hasira kutoka kwa viongozi katika dunia ya kidini, ukweli ambao umewakanganya na hata kuwashtua watu: Ni kwa nini kila wakati Mungu anapoonyesha hatua ya kazi mpya Yeye daima hukumbana na aina hii ya utendewaji?

3.24.2018

Umeme wa Mashariki | 4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo

Umeme wa Mashariki | 4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo


Xiaokai, Mkoa wa Jiangxi
Mimi ni mwanamke wa kawaida wa mashambani, na, kwa sababu ya dhana ya kikabaila ya kuthamini tu watoto wa kiume, sikuweza kuinua kichwa changu mbele ya wengine kwa ajili ya aibu ya kutozaa mtoto wa kiume. Wakati tu nilikuwa nikiteseka zaidi kabisa, nilichaguliwa na Bwana Yesu na, miaka miwili baadaye, nilikubali wokovu wa Mwenyezi Mungu.

“Ivunje Laana” – Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana? | Swahili Gospel Movie Clip 1/6


Umeme wa Mashariki | “Ivunje Laana” – Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana? | Swahili Gospel Movie Clip 1/6


Miezi minne ya damu tayari imeonekana. Hii ina maana kwamba majanga makubwa yatakuja hivi karibuni, kama ilivyotabiriwa katika kitabu cha Yoeli, “Na pia juu ya watumishi wa kiume na wa kike nitamwaga roho wangu katika siku zile. Na nitaonyesha maajabu mbinguni na duniani, damu, na moto, na miimo ya moshi. Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja kwa siku kuu na ya kutisha ya Yehova” (Yoeli 2:29-31).

3.23.2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 40. Unachopaswa Kujua Kuhusu Kuigeuza Tabia Yako


Mwenyezi Mungu alisema, Katika miaka yote ya kuipitia kazi na kusikiliza mahubiri, kuna watu wengine ambao wanajifahamu, na watu wengine ambao hawana ufahamu wowote kujihusu; watu wengine wanaweza kuzungumza kuhusu vitu fulani halisi, na kuwasiliana hali halisi zao wenyewe, kuingia kwao wenyewe, maendeleo yao wenyewe, dosari zao, na jinsi wanapanga kuingia ndani.

"Vunja Pingu na Ukimbie" (4) - Jifungue Kutoka kwa Utumwa wa Mafarisayo wa Kidini na Kurudi Kwa Mungu

 

"Vunja Pingu na Ukimbie" (4) - Jifungue Kutoka kwa Utumwa wa Mafarisayo wa Kidini na Kurudi Kwa Mungu



Katika jumuiya ya kidini, wachungaji wanajua Biblia kwa kina na mara nyingi huelezea vifungu kutoka kwa Biblia kwa watu. Kutoka kwa macho yetu, inaonekana kuwa wote wanamjua Mungu, lakini kwa nini kuna watu wengi katika ulimwengu wa kidini ambao huilaumu na kuipinga kazi ya Mungu mwenye mwili ya siku za mwisho?

3.22.2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?


Kama watu wengi wa kidini wenye imani katika Bwana, Mzee Li daima amehisi kwamba "kila kitu kilicho katika Biblia kilitiwa msukumo na Mungu," "Biblia ni neno la Mungu," na "Biblia humwakilisha Mungu." Dhana hizi zilikuwa kwa muda mrefu zimeunda msingi wa imani yake.

3.21.2018

Umeme wa Mashariki | "Vunja Pingu na Ukimbie" (1) - Legeza Pingu na Ujifunze Njia ya Kweli

Umeme wa Mashariki | "Vunja Pingu na Ukimbie" (1) - Legeza Pingu na Ujifunze Njia ya Kweli


Mzee wa kanisa Li, kutokana na imani pofu katika maneno ya wachungaji wa kidini, alihisi kwamba kazi na maneno yote ya Mungu yaliandikwa katika Biblia na kwamba chochote nje ya Biblia hakingeweza kuwa kazi na neno la Mungu. Li alifikiri kwamba yote aliyohitaji kufanya ni kushika Biblia na wakati Bwana angekuja tena, angenyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni.

3.20.2018

Umeme wa Mashariki | 16. Kuvunja Pingu


Zhenxi Jijini Zhenzhou, Mkoani Hena
Miaka kumi iliyopita, nikiendeshwa na asili yangu ya kiburi, sikuweza kamwe kutii kikamilifu mipangilio ya kanisa. Ningetii ikiwa ilinifaa, lakini iwapo haingenifaa ningechagua iwapo ningetii au la. Hili lilisababisha kukiuka sana mipangilio ya kazi wakati wa kutimiza wajibu wangu.

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana



Watu wengi ambao wana imani katika Bwana huhisi kwamba maneno na kazi ya Mungu vyote viko katika Biblia, kwamba wokovu wa Mungu kama ulivyoelezewa katika Biblia tayari umejaa, kwamba imani katika Mungu lazima iwe kwa msingi wa Biblia na kwamba kama imani yetu kwa Mungu ni kwa msingi wa Biblia, basi kwa hakika tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni.

3.19.2018

Umeme wa Mashariki | Njia... (8)

Umeme wa Mashariki | Njia... (8)


Mwenyezi Mungu alisema, Wakati ambapo Mungu anakuja duniani kuchanganyika na wanadamu, kuishi nao, sio tu kwa siku moja au mbili. Labda kwa wakati huu wote watu wamemjua Mungu kwa kiwango fulani, na labda wamepata utambuzi muhimu wa kumhudumia Mungu, na wamepata uzoefu sana katika imani yao katika Mungu.

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu

 

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu



Fu Jinhua alikuwa mzee wa kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini, na alijiona kuwa mtu ambaye alimpenda Bwana kweli. Baada ya kumfuata Bwana kwa miaka mingi, aliamini kwa moyo wote kwamba Biblia ilikuwa imefunuliwa na Mungu, na kwamba maneno katika Biblia yote yalikuwa maneno ya Mungu. Kwa hivyo, akilini mwake, alilinganisha kuamini katika Bwana na kuamini katika Biblia.