9.06.2018

Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki


  • Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

  •  
  • I
  • Mungu aliipa Israeli utukufu Wake
  • kisha Akauhamisha mbali na pale,
  • na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.
  • Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga
  • ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,
  • wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.
  • Mungu atawaacha wote wanaotafuta kuuona mwanga tena
  • na utukufu Aliokuwa nao katika Israeli,
  • kuona kwamba Mungu tayari ameshuka chini juu ya wingu jeupe
  • miongoni mwa watu,
  • na kuona mawingu mengi meupe,
  • na kuona vishada vya matunda,
  • kumwona Yehova Mungu wa Israeli,
  • Mungu wa Israeli,
  • kumwona Mkuu wa Wayahudi,
  • kumwona Masihi Aliyengojewa,
  • na kuonekana kamili kwa Yeye aliyeteswa na wafalme
  • katika enzi zote.
  • II
  • Mungu atafanya kazi ya ulimwengu mzima na kufanya kazi kubwa,
  • akifichua utukufu Wake wote na matendo Yake yote kwa mwanadamu
  • katika siku za mwisho.
  • Mungu ataonyesha uso Wake uliojaa utukufu
  • kwa wale ambao wamemngoja Yeye kwa miaka mingi,
  • kwa wale ambao wametamani kumuona Yeye akija juu ya wingu jeupe,
  • kwa Israeli ambayo imemngoja Aonekane kwa mara nyingine tena,
  • kwa watu wote wanaomtesa Mungu.
  • Ili wote wajue kwamba
  • Mungu kwa muda mrefu uliopita Ameuchukua utukufu Wake
  • na kuuleta katika Mashariki.
  • Hauko katika Uyahudi, kwa maana siku za mwisho tayari zimewadia!
  •  
  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

           Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni