9.06.2018

Katika Familia Ya Mungu, tunakutana na kila mmoja

Umeme wa Mashariki, Mungu, Nyimbo

Katika Familia Ya Mungu, tunakutana na kila mmoja

I
Tukipendana, sisi ni familia. 
Aa … aa …
Katika familia ya Mungu, tunakutana kila mmoja,
mkusanyiko wa watu wakimpenda Mungu.
Bila upendeleo, kupendana kwa karibu,
furaha na utamu ukijaza mioyo yetu.
Jana tuliacha majuto na hatia;
leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu.
Hakuna kutoelewana, hakuna upotovu, tuna furaha iliyoje!
Ndugu, pendaneni, sisi ni familia.
Bila upendeleo, kupendana kwa karibu
… aa …
II
Katika Familia Ya Mungu, tunakutana kila mmoja,
mkusanyiko wa watu kutoka kila mahali.
Baada ya kuwa wapotovu ilhali waliokolewa na Mungu,
tuna lengo moja na nia moja.
Tukishiriki hisia zetu tulipokuwa mbali;
na vile vile uzoefu wetu na maarifa tuliyo nayo.
Sasa tunatembea katika njia ya uzima inayong’aa,
mbele yetu, siku za usoni nzuri zilizojaa na matumaini na mwanga.
Siku za usoni nzuri, zilizojaa na matumaini na mwanga. 
Aa … aa …
III
Katika familia ya Mungu, tunakutana kila mmoja,
lakini hivi karibuni tutatengana.
Kulemewa na utendaji na mapenzi ya Mungu,
tutaachana kwa ajili ya kazi ya Mungu.
Tukikusanyika, tunacheka na kuongea kwa uchangamfu;
tunapoondoka, tunatiana moyo.
Upendo wa Mungu, kiini chetu cha kuwa waaminifu hadi mwisho.
Kwa sababu ya siku nzuri za usoni, tutafanya chochote tuwezacho.
Kwa sababu ya siku nzuri za usoni, tutafanya chochote tuwezacho.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

            Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni