10.29.2018

Kutembea Katika Njia ya Kumpenda Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, Injili

 Kutembea Katika Njia ya Kumpenda Mungu

Sijali kuhusu njia iliyo mbele;
nafanya tu mapenzi ya Mungu kama wito wangu.
Wala sijali kuhusu maisha yangu ya usoni.
Kwa kuwa nimechagua kumpenda Mungu, nitakuwa mwaminifu hadi mwisho. 

Tamko la Nne

Tamko la Nne

Daima tutakuwa tukiangalia na kusubiri, kuwa na utulivu katika roho na kutafuta kwa moyo safi. Chochote kitakachotufikia, tusishiriki kwa upofu. Twahitajika tu kuwa kimya mbele ya Mungu na daima kushiriki naye, na kisha nia Yake itafichuliwa kwetu.

Tamko la Themanini na Nne

Tamko la Themanini na Nne

Kwa sababu ya ukosefu wao wa ujuzi kunihusu Mimi, mwanadamu amekatiza usimamizi Wangu na kudhoofisha mipango Yangu mara zisizo na idadi, lakini hawajawahi kuweza kuzuia hatua Zangu zinazoendelea mbele. Hii ni kwa sababu Mimi ni Mungu wa hekima.

10.28.2018

Mtazamo wa Mungu kwa Mwanadamu

Mtazamo wa Mungu kwa Mwanadamu

I
Matendo maovu ya wanadamu yanapomchukiza Mungu,
Ataiteremsha hasira Yake juu yao,
ila wanapotubu kwa kweli mbele Yake.
Watu wanapoendelea kumpinga Mungu,
Ghadhabu Yake haitakoma, hata watakapoangamizwa.
Hii ni tabia ya Mungu.

Tamko la Themanini na Saba

Tamko la Themanini na Saba

Lazima uharakishe hatua na ufanye kile Nataka kufanya. Hii ni kusudi Langu lenye hamu kwenu. Inawezekana kuwa kwa wakati huu bado hamjaelewa maana ya maneno Yangu? Inawezekana kuwa bado hamjui kusudi Langu? Nimezungumza wazi zaidi na zaidi, na kusema mengi zaidi, lakini, je, ninyi hamjajitahidi kujaribu kuelewa maana ya maneno Yangu? Shetani, usifikiri kwamba unaweza kuharibu mpango Wangu!

10.27.2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu


Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu


      Katika ulimwengu huu wa mioyo mibaya ambapo pesa ni mfalme, ni machaguo yapi ambayo Xiaozhen aliye safi na mzuri aliyafanya, ya maisha na ya kuendelea kuishi …

Mungu Mwenye Mwili Anapendeza Sana

Mungu Mwenye Mwili Anapendeza Sana

I
Baada ya Mungu kupata mwili, akiishi maisha kati ya wanadamu,
Aliona upotovu wa mwanadamu, hali ya maisha yake.
Mungu katika mwili alihisi sana kutojiweza kwa mwanadamu,
jinsi gani wanavyodharaulika; Alihisi huzuni yake.
Mungu alipata huruma zaidi kwa hali ya binadamu, 

10.26.2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)

Kanisa la Mwenyezi Mungu,ukweli,

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)


Xiaoxue, Malesia

  Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno rahisi tu, “Mbinguni, dunia, watu, na, dunia, baba, mama….” Nilimfundisha mara chache hasa, lakini bado hakuweza kuandika. Angeandika neno la kwanza na kisha kusahau lililofuata.

Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu


  • Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu

  • I
  • Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu,
  • na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
  • Wakati huo huo,
  • Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia. 

10.25.2018

Tamko la Tisini na Mbili

Tamko la Tisini na Mbili

Kila mmoja anaweza kuuona uweza Wangu na hekima Yangu ndani ya maneno Ninayoyazungumza na mambo Ninayoyatenda. Popote Ninapokwenda, kazi Yangu iko pale. Hatua Zangu haziko nchini China pekee, bali muhimu zaidi, ziko katika mataifa yote ya dunia.

Mungu Katika Mwili Hufanya Kazi Kimya ili Kuwaokoa Wanadamu

Mungu Katika Mwili Hufanya Kazi Kimya ili Kuwaokoa Wanadamu

I
Mungu alipata mwili, akabaki kujificha miongoni mwa wanadamu
ili kufanya kazi mpya, kutuokoa kutoka katika upotovu.
Anahifadhi maelezo.
Kwa mipango Aliyoifanya, Yeye hufanya kazi Yake hatua kwa hatua.
Maneno Yake yanaongezeka kila siku,
yakifariji, kukumbusha, kushutumu, na kuonya.

10.24.2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (2): Kupigania Dhahabu



Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (2): Kupigania Dhahabu


       Xiaozhen alipopata kipande kikubwa cha dhahabu, aliwaita marafiki wake ili wagawane. Kile ambacho hakutambua ni kwamba mara tu watu wanapoona dhahabu, asili nzuri na mbaya ya mwanadamu hujiweka wazi …