3.15.2018

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"

 Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"


I
Mwenyezi Mungu mwenye mwili
Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki,
kama tu vile jua la haki likichomoza;
mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.
Mungu wa haki na mwenye uadhama, mwenye upendo na huruma
Anajificha kwa unyenyekevu miongoni mwa wanadamu,
Akitoa ukweli, kuzungumza na kufanya kazi.

3.10.2018

Umeme wa Mashariki | Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"

Umeme wa Mashariki |  Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"


Song Ruiming ni mchungaji wa kanisa huko Korea Kusini. Kama mfuasi wa dhati wa Bwana kwa miaka mingi, amekuwa akifuatilia imani yake kwa bidii sana na kumfanyia kazi Bwana huku akisubiri kuinuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Katika miaka ya hivi karibuni, amekuwa akihisi kuchanganyikiwa sana na mwenye udhaifu anapokuwa akiona kwamba Kanisa halina kazi ya Roho Mtakatifu na linazidi kuwa na ukiwa.

3.09.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 3

Kanisa la Mwenyezi MunguSura ya 3



Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kuwa mnaitwa watu Wangu, mambo hayapo kama yalivyokuwa; mnapaswa kusikiliza na kutii matamshi ya Roho Wangu, fuateni kwa karibu kazi Yangu, na msitenganishe Roho Wangu na mwili Wangu, maana kwa asili Sisi ni wamoja, na Hatujatengana. Yeyote ambaye hugawanya Roho na mwanadamu, akimthamini mwanadamu au Roho, atapata hasara, na ataweza tu watakunywa kutoka kwenye kikombe chao kichungu—ni hayo tu. Ni wale tu ambao wanaweza kumtazama Roho na mwanadamu kama kitu kizima kisichoweza kutenganishwa ndio wataweza kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu Mimi, na ni hapo tu ndipo mabadiliko yanaweza kutokea taratibu katika maisha yaliyomo ndani yao.

3.08.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Tano

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Tano


Mwenyezi Mungu alisema, Wakati Roho Wangu anatoa sauti, Anaonyesha hali nzima ya tabia Yangu. Je, wewe unalifahamu hili? Kutolifahamu hili katika hatua hii itakuwa sawa na kunipinga moja kwa moja. Je umeona umuhimu ulioko humu? Je, unajua juhudi kiasi gani, kiasi gani cha nguvu, Ninatumia juu yako? Je, unaweza thubutu kuweka wazi kila ulichofanya mbele Yangu?

3.07.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko La Nne

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko La Nne


Mwenyezi Mungu alisema, Watu Wangu wote wanaohudumu mbele Zangu wanapaswa kutafakari kuhusu siku zilizopita: Je, upendo wenu Kwangu ulikuwa umetiwa doa na uchafu? Je, uaminifu wenu Kwangu ulikuwa safi na wa moyo wako wote?

3.06.2018

Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu


Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

I
Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao, mshangao na uvutiwaji.

3.05.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Jinsi ya Kuujua Uhalisi

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Jinsi ya Kuujua Uhalisi
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi.

3.04.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Waovu Lazima Waadhibiwe

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Waovu Lazima Waadhibiwe

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Waovu Lazima Waadhibiwe


Mwenyezi Mungu alisema, Kukagua kama unatenda uhaki katika kila jambo unalotenda, na iwapo matendo yako yanachunguzwa na Mungu, ni tabia za kanuni za wale wanaomwamini Mungu. Utaitwa mwenye haki kwa sababu una uwezo wa kukidhi matakwa ya Mungu, na kwa sababu umekubali utunzaji na ulinzi wa Mungu. Machoni pa Mungu, wote wanaokubali utunzaji, ulinzi na ukamilishaji Wake na wale waliopatwa Naye, ni wenye haki na hutazamwa kwa upendo sana Mungu.

3.03.2018

Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu

Mwenyezi Mungu alisema, Katika miaka hii miwili hadi mitatu ya kazi, kile kilichopaswa kutimizwa katika kazi ya hukumu iliyofanyika juu yenu kimetimizwa kimsingi. Watu wengi wamesahau matarajio na kudura yao ya baadaye. Hata hivyo, inapotajwa kuwa ninyi ni uzao wa Moabu, wengi wenu huchukizwa sana—nyuso zenu hubadilika, vinywa vyenu hupinda, na macho yenu hukodolea. Hamuwezi kabisa kuamini kwamba ninyi ni uzao wa Moabu.

Kiambatisho: Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake

Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake


Mwenyezi Mungu alisema, Kama wale mamia ya mamilioni ya wengine wanaomfuata Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi wa Bwana. Mara nyingi, sisi huwa dhaifu, na mara nyingi sisi huwa pia wenye nguvu. Tunaamini kwamba matendo yetu yote yanaambatana na mafundisho ya Bwana. Na basi, ni dhahiri kwamba sisi pia tunajiamini kuwa kwenye njia ya kutii mapenzi ya Baba aliye mbinguni. Tunatamani kurudi kwake Bwana Yesu, kushuka Kwake kwa utukufu, mwisho wa maisha yetu hapa duniani, kuonekana kwa ufalme, na kila kitu kama ilivyotabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo: Bwana anafika, Analeta maafa, Anawazawadia walio wema na kuwaadhibu walio waovu, na Anawachukua wale wote wanaomfuata na kukaribisha kurudi Kwake juu kumlaki angani. Wakati wowote tunapowaza kuhusu haya, hatuwezi ila kujawa na hisia na kujawa na shukrani kwa kuwa tulizaliwa siku za mwisho na tuna bahati nzuri ya kushuhudia kuja kwake Bwana.

3.02.2018

Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
Mwenyezi Mungu alisema, Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wa sisi wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu ya ukuu wa Mungu. Kama akili zetu na miili yetu si kwa ajili ya agizo la Mungu na si kwa sababu ya kusudi la haki la mwanadamu, basi nafsi zetu hazina thamani kwa wale waliokufa kishahidi kwa ajili ya agizo la Mungu, na thamani ndogo zaidi kwa Mungu, aliyetupa kila kitu.

3.01.2018

Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya

Wimbo wa Upendo Mtamu


Ndani ya moyo wangu, kuna upendo Wako. Mtamu sana, nasonga karibu na Wewe.
Kujali kukuhusu Wewe kunaufanya moyo wangu kuwa mtamu; kukutumikia Wewe kwa mawazo yangu yote.
Kinachouongoza moyo wangu, ni upendo Wako; nafuata nyayo Zako za upendo.