3.01.2018

Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya

Wimbo wa Upendo Mtamu


Ndani ya moyo wangu, kuna upendo Wako. Mtamu sana, nasonga karibu na Wewe.
Kujali kukuhusu Wewe kunaufanya moyo wangu kuwa mtamu; kukutumikia Wewe kwa mawazo yangu yote.
Kinachouongoza moyo wangu, ni upendo Wako; nafuata nyayo Zako za upendo.
Najisongeza kulingana na macho Yako; upendo unaonyesha furaha ya moyo wangu.
Upendo ni kuonyesha furaha ya moyo wangu.
Sasa naishi katika ulimwengu mwingine, hakuna mwingine aliye name ila Wewe.
Unanipenda, nakupenda Wewe; hakuna majonzi wala huzuni unaotusumbua.
Hakuna majonzi wala huzuni unaotusumbua. Fikira za uchungu zinapita.
Fikira za uchungu zinapita.
Nakufuata katika upendo, niko karibu na Wewe; furaha inatujaza mimi na Wewe.
Wazi kuhusu kuhusu mapenzi Yako, nakutii tu Wewe, sitaki kukuasi Wewe.
Nitaishi mbele Yako hata zaidi kuliko awali, siwezi kuwa mbali na Wewe tena.
Nikifikiria kuhusu na kuonja maneno Yako, napenda kile Ulicho nacho, na kile Ulicho.
Napenda kile Ulicho nacho, kile Ulicho.
Nataka Wewe uwe maisha yangu. Nitakuruhusu Wewe uchukue moyo wangu.
Aa! Nakupenda Wewe, nakupenda Wewe. Nimeshindwa na upendo Wako,
hivyo, nina bahati kufanywa kamili ili kutosheleza moyo Wako.
Haleluya! Haleluya! Haleluya! Sifa ziwe kwa Mungu!
Haleluya! Haleluya! Haleluya! Sifa ziwe kwa Mungu!
Haleluya! Haleluya! Haleluya! Sifa ziwe kwa Mungu!
Haleluya! Haleluya! Haleluya! Sifa ziwe kwa Mungu!


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

      Soma zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni