11.23.2018

Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi



  • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  • I
  • Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000,
  • uliyogawanywa katika hatua tatu,
  • kila moja inaitwa enzi.
  • Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema,
  • na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho. 
  • Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja,
  • yote inalingana na kile ambacho binadamu wanahitaji,
  • ama hasa inalingana na ujanja ambao Shetani anatumia,
  • anapopigana na Yeye.
  • Kusudi la Kazi ya Mungu ni kumshinda Shetani,
  • kufunua hekima ya Mungu na ukuu,
  • na kufichua ujanja wote wa Shetani,
  • hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake,
  • hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake.
  • II
  • Ni ili kufunua hekima ya Mungu na ukuu,
  • na kufichua upotovu mbaya wa Shetani,
  • kufunza viumbe kutofautisha mema na mabaya,
  • na kumjua Mtawala wa vitu vyote ni Mungu Mwenyewe.
  • Kuona wazi kuwa Shetani ni adui wa mwanadamu,
  • kuwa ni yule mwovu, mhalifu,
  • ili mwanadamu aweze kutofautisha mema na maovu,
  • ukweli na uongo,
  • utakatifu na uchafu, na makuu kutoka kwa ya chini.
  • Kusudi la Kazi ya Mungu ni kumshinda Shetani,
  • kufunua hekima ya Mungu na ukuu,
  • na kufichua ujanja wote wa Shetani,
  • hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake,
  • hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake.
  • Kumfanya binadamu pumbavu kuwa na ushuhuda Kwake:
  • Sio Mungu ndiye Alileta upotovu wa mwanadamu,
  • na ni Mungu Mwenyewe pekee, Bwana wa uumbaji,
  • Anayeweza kuweka vitu vya kufurahia
  • na kumletea mwanadamu wokovu.
  • Hii ni ili waweze kujua kuwa Mungu
  • ni Mtawala wa vitu vyote,
  • kuwa Shetani ni uumbaji Wake,
  • ambaye baadae alichagua kumgeuka.
  • III
  • Mpango wa Mungu wa miaka 6,000 wa usimamizi
  • umegawanywa katika hatua tatu,
  • ili yafuatayo yaweze kufikiwa:
  • kuruhusu viumbe Wake kuwa mashahidi Wake,
  • kujua mapenzi Yake, na kuona kuwa ukweli ni Yeye.
  • Kusudi la Kazi ya Mungu ni kumshinda Shetani,
  • kufunua hekima ya Mungu na ukuu,
  • na kufichua ujanja wote wa Shetani,
  • hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake,
  • hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake.
  •  
  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya



                     Soma zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni