Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu
- Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu
- I
- Kazi ya Mungu sasa ni kunena,
- hakuna ishara tena, wala maajabu.
- Sio Enzi ya Neema. Mungu ni wa kawaida na halisi.
- Katika siku za mwisho Yeye sio Yesu asiye wa kawaida,
- lakini ni Mungu wa vitendo katika mwili,
- hakuna tofauti na mtu.
- Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu
- ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo.
- Ndiyo, ni matamshi ya Mungu
- yanayomshinda na kumkamilisha mtu.
- Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao.
- Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.
- II
- Katika kila enzi Mungu anaonyesha tabia tofauti,
- Sehemu tofauti ya matendo Yake.
- Lakini yote, bado yanatoa ujuzi Wake wa kina.
- imani thabiti na ya unyenyekevu katika Mungu.
- Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu
- ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo.
- Ndiyo, ni matamshi ya Mungu
- yanayomshinda na kumkamilisha mtu.
- Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao.
- Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.
- III
- Elewa uhalisi Wake, elewa tabia Yake
- ni kwa kujua tu matendo Yake halisi,
- jinsi Anavyofanya kazi na kuongea,
- kutumia hekima Yake, kuwafanya watu wakamilifu.
- Elewa Anavyotenda kazi juu ya mtu,
- elewa Anavyopenda na Asivyopenda.
- Hili linaweza kusaidia kutofautisha mazuri na mabaya,
- na kupitia ufahamu huu wa Mungu
- kuna maendeleo katika maisha yako.
- Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu
- ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo.
- Ndiyo, ni matamshi ya Mungu
- yanayomshinda na kumkamilisha mtu.
- Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao.
- Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.
- Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu
- ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo.
- Ndiyo, ni matamshi ya Mungu
- yanayomshinda na kumkamilisha mtu.
- Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao.
- Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.
-
- kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni