11.11.2019

Kuhusu Majina na Utambulisho



Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kuhusu Majina na Utambulisho" (Sehemu ya Pili)

Tazama zaidi:
Neno la Mungu | "Je, Utatu Mtakatifu Upo?" http://bit.ly/36L5TbW
Neno la Mungu | "Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu" (Sehemu ya Pili) http://bit.ly/2Nvht3r
Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind? http://bit.ly/2YXGZVx
Maonyesho ya Mungu | "Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi" http://bit.ly/2PZldMc
Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?" http://bit.ly/31ruBdU
Maonyesho ya Mungu | "Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu" http://bit.ly/34E05iy

Kwaya ya Injili ya Kichina 13


Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa "Kwaya ya Injili ya Kichina 13"

1. WANADAMU WAMEUPATA TENA UTAKATIFU WAO WALIOKUWA NAO AWALI
La … la … la … la …
Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo. (Du … ba … ba la ba ba) Miji ya mbingu inacheka kwa furaha (du ba du ba), na falme za nchi zinacheza kwa shangwe (Ba ba ba …) Ni nani wakati huu ambaye haonyeshi furaha? Na ni nani wakati huu ambaye halii? (Du … ba … ba la ba ba) Nchi ni miliki ya mbingu, na mbingu imeungana na nchi.

11.09.2019

Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi



Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

I
Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo.
Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.
Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa, sina ukweli au uhalisi.
Mila na sheria, zikifungia imani yangu; sikubaki na kitu ila utupu.
Kushindwa kuishi kama binadamu, sistahili upendo wa Mungu kwa ajili yangu.

11.07.2019

Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu



Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)



Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake.

Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe,

Yeye anashuka kati ya mwanadamu ili kuanza enzi na kumaliza enzi.

Kuonekana kama huku sio ishara ama picha.

11.06.2019

Mwana wa Adamu Ameonekana



Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma


Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...),

mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...),

ukiangaza njia yote kwenda magharibi.

Mwana wa Adamu ameshuka duniani.

11.05.2019

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu


Sauti ya Mungu | “Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu”


Tazama Zaidi:

Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected

https://sw.godfootsteps.org/videos/how-peter-came-to-know-Jesus-word.html

11.04.2019

Ni Jinsi Gani Mwanadamu Ambaye Amemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?




Maneno ya Roho Mtakatifu | "Ni Jinsi Gani Mwanadamu Ambaye Amemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?" (Dondoo 1)


Tazama zaidi:

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | “Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya ‘Wingu Jeupe’”

https://sw.godfootsteps.org/videos/Savior-has-returned-word.html

Maneno ya Roho Mtakatifu | “Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia”

11.02.2019

Wimbo wa Ushindi



“Wimbo wa Ushindi” – Hukumu ya Mungu katika Siku za mwisho Huwafanya Washindi Kamili | Swahili Gospel Movie Clip 7/7



Ndugu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu huvumilia shida kali na mateso kutoka kwa Chama Cha Kikomunisti cha China na ulimwengu wa dini. Kwa nini wanaendelea kukataa kujisalimisha, kuendelea kuhubiri injili na kumshuhudia Mungu? Je, Mwenyezi Mungu anawaongozaje kupitia hukumu na taabu ya Mungu ili kufikia utakaso na kuwa washindi? Tazama video hii!

11.01.2019

Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme



Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu


Tumesikia sauti ya Mungu na kurudi nyumbani Kwake.

Mikutanoni tunakula na kunywa maneno ya Mungu, tunahudhuria karamu.

Sisi tunaaga huzuni na vifungo vyetu, tunaishi maisha mapya.

Maneno ya Mungu yako nasi kila siku, tunastarehe ndani yake.

Tunapofungua mioyo yetu katika ushirika wa kweli, mioyo yetu inaangazwa sana.

10.31.2019

Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani



Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” | Wimbo wa Kusifu na Kuabudu



Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?

10.30.2019

Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu



I

Mwenyezi Mungu mwenye mwili

Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki,

kama tu vile jua la haki likichomoza;

mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.

Mungu wa haki na mwenye uadhama, mwenye upendo na huruma

Anajificha kwa unyenyekevu miongoni mwa wanadamu,

Akitoa ukweli, kuzungumza na kufanya kazi.

10.28.2019

Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu



 Wimbo Mpya wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu” | MV

Mandhari iliyochorwa katika Biblia “Amri ya Mungu kwa Adamu”
ni ya kugusa na yenye kutia moyo.
Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu,
uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao.