11.02.2019

Wimbo wa Ushindi



“Wimbo wa Ushindi” – Hukumu ya Mungu katika Siku za mwisho Huwafanya Washindi Kamili | Swahili Gospel Movie Clip 7/7



Ndugu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu huvumilia shida kali na mateso kutoka kwa Chama Cha Kikomunisti cha China na ulimwengu wa dini. Kwa nini wanaendelea kukataa kujisalimisha, kuendelea kuhubiri injili na kumshuhudia Mungu? Je, Mwenyezi Mungu anawaongozaje kupitia hukumu na taabu ya Mungu ili kufikia utakaso na kuwa washindi? Tazama video hii!



Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni