5.14.2018

"Imani katika Mungu" (4) - Je, Kuamini katika Biblia ni Sawa na Kuamini katika Bwana?

"Imani katika Mungu" (4) - Je, Kuamini katika Biblia ni Sawa na Kuamini katika Bwana?


    Watu wengi zaidi katika ulimwengu wa dini huamini kwamba Biblia ni kanuni ya Ukristo, kwamba mtu lazima ashikilie Biblia na kuweka msingi wa imani yake katika Bwana kwenye Biblia kabisa, na kwamba mtu hawezi kuitwa muumini akipotoka kutoka kwenye Biblia. Hivyo imani katika Bwana na imani katika Biblia ni sawa?

Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima

Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima


    Kupata mwili kwa Mungu wote wawili wanashuhudia kwamba "Kristo ni ukweli, njia na uzima." Kwa inasemwa kwamba Kristo ni ukweli, njia na uzima? Na wale mitume na watu wakuu wa kiroho waliomfuata Bwana Yesu pia walisema mambo mengi, mambo ambayo ni ya manufaa makubwa kwa mwanadamu, kwa hiyo mbona wao si ukweli, njia na uzima? Tunapaswa kuelewa vipi tofauti kati ya vipengele hivi viwili?

5.13.2018

44. Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote

44. Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote

Xianshang     Mji wa Jinzhong, Mkoa wa Shanxi
Muda mfupi uliopita, kila wakati niliposikia kwamba wahubiri wa wilaya walikuwa wakija kwa kanisa letu, ningehisi kutaharaki kiasi. Sikufichua hisia zangu kwa nje, lakini moyo wangu ulijaa upinzani wa siri. Nilidhani: "Ingekuwa bora kama nyinyi nyote hamkuja.

Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu


Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu


    Katika Enzi ya Neema, Mungu alipata mwili na akawa Bwana Yesu aliyekuja kuwakomboa wanadamu, na Mafarisayo wa Kiyahudi wakasema kwamba Bwana Yesu alikuwa mwanadamu tu. Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili na amekuwa Mwenyezi Mungu ambaye Amekuja kufanya kazi Yake ya hukumu,

5.12.2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (3) - Wale Tu Ambao Wanafuata Mapenzi ya Mungu Ndio Wanaweza Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

Gospel Movie clip "Kusubiri" (3) - Wale Tu Ambao Wanafuata Mapenzi ya Mungu Ndio Wanaweza Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni


    Ni mtu wa aina gani atanyakuliwa katika ufalme wa mbinguni? “Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; lakini yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni” (Mathayo 7:21). Lakini watu wengine wanaamini kuwa kuyafuata mapenzi ya Baba wa mbinguni kunamaanisha tu kuwa mwaminifu kwa jina la Bwana, kumtumikia kwa bidii, na kuvumilia mateso ya kubeba msalaba, na kuwa tukifanya vitu hivi, tunapaswa tu kukesha na kungoja hivi kwa kurudi mara ya pili kwa Bwana ili kunyakuliwa katika ufalme wa mbinguni.

5.11.2018

Umeme wa Mashariki | 4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, upendo wa Mungu, Umeme wa Mashariki

4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo


Xiaokai, Mkoa wa Jiangxi
Mimi ni mwanamke wa kawaida wa mashambani, na, kwa sababu ya dhana ya kikabaila ya kuthamini tu watoto wa kiume, sikuweza kuinua kichwa changu mbele ya wengine kwa ajili ya aibu ya kutozaa mtoto wa kiume. Wakati tu nilikuwa nikiteseka zaidi kabisa, nilichaguliwa na Bwana Yesu na, miaka miwili baadaye, nilikubali wokovu wa Mwenyezi MunguAidha, nilielewa ukweli mwingi kutoka kwa ndani ya maneno ya Mwenyezi Mungu na moyo wangu ulipata ufunguliaji wa kweli.

"Imani katika Mungu" (2) - Je, Njia Inayoshutumiwa na CCP na Miongoni mwa Watu wa Dini Siyo Njia ya kweli?

"Imani katika Mungu" (2) - Je, Njia Inayoshutumiwa na CCP na Miongoni mwa Watu wa Dini Siyo Njia ya kweli?


    Watu wengi hutafuta na kuchunguza njia ya kweli pasipo kutegemeza vitendo hivi katika maneno na kazi ya Mungu. Badala yake, wao hufuata mitindo ya ulimwengu wa dini na wanaamini kwamba kile ambacho serikali ya kikomunisti ya China na ulimwengu wa dini inalaani sio njia ya kweli—je, hii ni njia sahihi ya kuelekea? Biblia inasema, “dunia nzima hukaa ndani ya maovu."(1 Yohana 5:19). “Hiki ni kizazi kiovu” (Luka 11:29).

5.10.2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo


Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo


    Ukikabiliwa na kurudi kwa pili kwa Bwana, je, utakuwa na hofu ya Makristo wa uongo kiasi kwamba utafunga mlango ili kujilinda na kusubiri ufunuo wa Bwana, au utatenda kama bikira mwerevu, na uitikie sauti ya Mungu na usalimu kurudi kwa Bwana? Video hii fupi itakuambia jinsi ya kukaribisha kuja kwa pili kwa Bwana.

1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu
Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho sitawahi kusahau ni taabu mbaya sana nilipokamatwa na polisi wa CCP muongo mmoja uliopita. Wakati huo, licha ya mimi kuteswa na kukandamizwa na ibilisi waovu, na kuwa ukingoni mwa kifo mara kadhaa, Mwenyezi Mungu alitumia mkono Wake wa nguvu kuniongoza na kunilinda, kunirudisha kwa uhai, na kunipeleka kwa usalama....

5.09.2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?


    Wachungaji na wazee wengi wa kanisa, kwa kuwa wamemwamini Mungu kwa miaka mingi, wamemfanyia Bwana kazi kwa bidii sana na wamekesha kila mara, wakingoja kurudi kwa Bwana, wanaamini kwamba wakati Bwana atakuja Atawapa ufunuo bila shaka. Je, maoni haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Je, Mungu atampa mwanadamu ufunuo haswa wakati Atapata mwili?

5.08.2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (5) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (1)

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (5) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (1)


    "Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa"(Ufunuo 2:29). Umemskia Roho Mtakatifu Akizungumzia makanisa? Je, maneno yaliyosemwa na Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu yametamkwa na Roho mmoja, kutoka kwa chanzo kimoja? Video hii fupi itakuonyesha haya!

5.07.2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2)

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2)


    "Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa"(Ufunuo 2:29). Umemskia Roho Mtakatifu Akizungumzia makanisa? Je, maneno yaliyosemwa na Mwenyezi Mungu na Bwana Yesuyametamkwa na Roho mmoja, kutoka kwa chanzo kimoja? Video hii fupi itakuonyesha haya!