5.09.2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?


    Wachungaji na wazee wengi wa kanisa, kwa kuwa wamemwamini Mungu kwa miaka mingi, wamemfanyia Bwana kazi kwa bidii sana na wamekesha kila mara, wakingoja kurudi kwa Bwana, wanaamini kwamba wakati Bwana atakuja Atawapa ufunuo bila shaka. Je, maoni haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Je, Mungu atampa mwanadamu ufunuo haswa wakati Atapata mwili?  Mwenyezi Mungu asema, "Mwanadamu haitafiti kazi mpya ya Mungu kwa utunzaji wala haikubali na unyenyekevu; badala yake, mwanadamu anachukua mtazamo wa dharau, kusubiri ufunuo na mwongozo wa Mungu. Hii siyo tabia ya mwanadamu anayeasi dhidi ya na kumpinga Mungu? Ni jinsi gani wanadamu kama hawa wanaweza kupata idhini ya Mungu?" (Neno Laonekana katika Mwili).


    Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni