11.05.2018

Mungu Amemleta Mwanadamu Katika Enzi Mpya

Mungu Amemleta Mwanadamu Katika Enzi Mpya

Kazi ya Mungu inaongoza ulimwengu wote na, zaidi ya hayo, umeme unaangaza moja kwa moja kutoka Mashariki hadi Magharibi.
I
Mungu anaeneza kazi Yake kati ya mataifa.
Utukufu Wake unaangaza katika ulimwengu.
Mapenzi Yake, yaliyomo katika wanadamu waliotawanyika,
wote wakiongozwa na mkono Wake, wakifanya kazi walizopewa.
Sasa Ameingia katika enzi mpya,
kuleta wanadamu wote katika ulimwengu mwingine. 
Hii ni enzi mpya baada ya yote,
na Mungu ameleta kazi mpya
ili kuwachukua watu zaidi wapya katika enzi mpya
na kutupa kando wale Atakaowaondoa.
Hii ni enzi mpya baada ya yote.
II
Mungu aliporudi katika "nchi" Yake,
Kisha akaanza sehemu nyingine ya mpango Wake,
kwamba mwanadamu angeweza kumjua zaidi.
Mungu anauangalia ulimwengu kabisa,
Anaona wakati mzuri wa kazi Yake kufanywa.
Anaharakisha hapa na pale, akifanya kazi Yake mpya juu ya mwanadamu.
Hii ni enzi mpya baada ya yote,
na Mungu ameleta kazi mpya
ili kuwachukua watu zaidi wapya katika enzi mpya
na kutupa kando wale Atakaowaondoa.
Hii ni enzi mpya baada ya yote.
III
Katika taifa la joka kubwa jekundu,
Mungu amefanya kazi ambayo haiwezi kueleweka,
akiwasababisha wanadamu kuyumba katika upepo.
Unavyopunga, wengi huelea kimya kimya kwenda mbali.
Hii ndiyo "sakafu ya kupuria" ambayo Mungu atasafisha.
Huu ni mpango Wake, kile Anachotamani sana.
Hii ni enzi mpya baada ya yote,
na Mungu ameleta kazi mpya
ili kuwachukua watu zaidi wapya katika enzi mpya
na kutupa kando wale Atakaowaondoa.
Hii ni enzi mpya baada ya yote.
Hii ni enzi mpya,
hii ni enzi mpya,
hii ni enzi mpya baada ya yote.
kutoka kwa "Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

     Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni