8.18.2018

Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu, kwa kuwa Anamsimamia mtu,
Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa
ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika,
katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
kwa sababu ni Mungu anayemfanyia mwanadamu kazi, mwanadamu ana hatima
na hatima yake hivyo inahakikishwa, hatima yake hivyo inahakikishwa.
Yale ambayo mwanadamu hufuatilia na kutamani ni matamanio aliyo nayo
anapofuata tamaa badhirifu za kimwili,
badala ya hatima, hatima inayotazamiwa na mwanadamu.
Yale ambayo Mungu amemwandalia mwanadamu, kwa upande mwingine,
ni baraka na ahadi zinazomngoja mwanadamu atakapotakaswa,
ambayo Mungu alimwandalia baada ya kuiumba dunia.
Hizo baraka na ahadi hazichafuliwi na
fikira ya mwanadamu na mawazo, au chaguo lake au mwili.
Hii hatima haijaandaliwa kwa mtu mahsusi, mtu mahsusi,
lakini ni mahali pa mapumziko kwa kila mwanadamu.
Hii ndiyo hatima inayofaa, hatima inayofaa kwa mwanadamu.
Hii ndiyo hatima inayofaa, hatima inayofaa kwa mwanadamu.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

     Soma zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni