8.11.2018

Kiini na Tabia ya Mungu Daima Vimekuwa Wazi kwa Binadamu

Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu, Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na kile Alicho na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
Havijawahi kufunikwa kamwe, havijawahi kufichika kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu, nafsi Yake na miliki yake,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu.
Mungu anatumaini mwanadamu anaweza kumwelewa, ajue kiini Chake, na tabia,
ambavyo Hataki vichukuliwe kama siri za milele.
Wala Hataki mwanadamu amwone Yeye kama kitendawili ambacho hakiwezi kutatuliwa.
Havijawahi kufunikwa kamwe, havijawahi kufichika kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu, nafsi Yake na miliki yake,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu.
Ni wakati tu binadamu amemjua Mungu
ndipo anaweza kujua njia ya kwendelea, kustahili kuongozwa na Mungu.
Ataishi chini ya mamlaka Yake na kuishi katika mwanga na baraka Zake.
Havijawahi kufunikwa kamwe, havijawahi kufichika kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu, nafsi Yake na miliki yake,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu.
Havijawahi kufunikwa kamwe, havijawahi kufichika kamwe,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

      Soma zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni