7.14.2018

24. Hakuna Anayeweza Kufanya Kazi Badala Yake

24. Hakuna Anayeweza Kufanya Kazi Badala Yake

Kazi ya Mungu hufanywa na Mungu Mwenyewe.
Ni Yeye ndiye Anayeianzisha kazi Yake, na ni Yeye anayeikamilisha.
Ni Yeye anayeipanga kazi.
Ni yeye ndiye anayeisimamia, na zaidi kuifanikisha kazi hiyo.
Ni kama ilivyosemwa katika Biblia,
“Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho;
Mungu ndiye Mpanzi na tena Mvunaji.”
“Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho;
Mungu ndiye Mpanzi na tena Mvunaji, na tena Mvunaji.”
Yote yanayohusiana na kazi Yake ya usimamizi yanafanywa na mkono Wake,
yanafanywa na mkono Wake.
Mungu ndiye Mtawala wa mpango wa usimamizi wa miaka 6,000.
Hakuna yeyote anayeweza kufanya kazi Yake kwa niaba Yake.
Hakuna yeyote, hakuna yeyote ambaye anaweza kuitamatisha kazi Yake,
kwa kuwa Yeye anadhibiti kila kitu.
Kwa kuwa Aliuumba ulimwengu, 
Atauongoza ulimwengu wote kuishi katika mwanga Wake, kuishi katika mwanga Wake.
Kwa kuwa Aliuumba ulimwengu,
Atauongoza ulimwengu mzima,
Atauongoza ulimwengu wote kuishi katika mwanga Wake,
na Ataitamatisha enzi nzima kuufikisha mpango Wake wote kwa mafaniko,
kuufanikisha mpango Wake wote!
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 

      Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni