4.02.2018

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (8)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (8)

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (8)

Mwenyezi Mungu alisema, Nimezungumza mara nyingi sana kwamba kazi ya Mungu ya siku za mwisho ni kwa ajili ya kubadilisha roho ya kila mtu, kubadilisha nafsi ya kila mtu, ili kwamba moyo wake, ambao umeteseka sana na kiwewe, uwe umebadilishwa, hivyo kuokoa nafsi yake, ambayo imeumizwa kwa kina zaidi na Shetani; ni kwa sababu ya kuamsha roho za watu, kuyeyusha mioyo yao baridi, na kuwaruhusu kurudisha nguvu za ujana. Haya ndiyo mapenzi makubwa ya Mungu. Weka pembeni mazungumzo ya ni namna gani maisha na uzoefu wa mwanadamu ni ya kiburi au ya kina; mioyo ya watu itakapokuwa imeamshwa, wanapokuwa wameamshwa kutoka kwa ndoto zao na kujua kikamilifu madhara yaliyoletwa na joka kuu jekundu, kazi ya huduma ya Mungu itakuwa imekamilika. Siku ambayo kazi ya Mungu itakuwa imekamilika ni wakati ambapo mwanadamu ataanza rasmi njia ya imani sahihi kwa Mungu. Wakati huu, huduma ya Mungu itakuwa imekamilika: Kazi ya Mungu katika mwili itakuwa imekamilika kabisa, na mwanadamu atakuwa ameanza rasmi kufanya kazi ambayo anapaswa kufanya—atatekeleza huduma yake. Hizi ni hatua za kazi ya Mungu. Hivyo mnapaswa kutafuta kwa kupapasa kuingia kwenu katika misingi ya kujua mambo haya. Haya yote ndiyo mnayopaswa kuyajua.
Kwa maelfu ya miaka hii imekuwa ni nchi ya uchafu, ni chafu sana, shida zimejaa, mizimu wanazunguka kila kona, wakihadaa na kudanganya, wakitoa tuhuma zisizokuwa na msingi,[2] wakiwa katili na waovu, wakikandamiza mji huu ulio mahame na kuuacha ukiwa umetapakaa maiti; harufu ya uozo inaijaza nchi na kuenea hewani, na inalindwa isivyo kawaida[3]. Nani awezaye kuuona ulimwengu kupita anga? Shetani anaufunga mwili wote wa mwanadamu, anafumba macho yake yote, na kufunga kinywa chake kwa nguvu. Mfalme wa mashetani amefanya ghasia kwa maelfu kadhaa ya miaka, hadi leo hii, wakati bado anaangalia kwa karibu mji ulio mahame kana kwamba ulikuwa "kasiri la pepo" lisilopenyeka; kundi hili la walinzi, wakati uo huo, wakiangalia kwa macho yanayong'aa, wakiogopa sana kwamba Mungu atawakamata bila wao kujua na kuwafutilia wote mbali, Akiwaacha wakiwa hawana sehemu ya "amani na furaha." Inawezekanaje watu wa mji wa mahame kama huu wawe wamewahi kumwona Mungu? Je, wamekwishawahi kufurahia uzuri na upendo wa Mungu? Wanathamini vipi masuala ya ulimwengu wa kibinadamu? Ni nani miongoni mwao anayeweza kuelewa matakwa ya kina ya Mungu? Haishangazi, basi, kwamba Mungu mwenye mwili abaki kuendelea kuwa Amefichwa: Katika jamii ya giza kama hii, ambapo mashetani hawana huruma na ni katili, inawezekanaje mfalme wa mashetani anayeua watu kwa kufumba na kufumbua, avumilie uwepo wa Mungu ambaye ni mwenye upendo, mpole, na mtakatifu? Anawezaje kushangilia na kufurahia ujio wa Mungu? Vikaragosi hawa! Wanalipa upole kwa chuki, wanamtweza Mungu kwa muda mrefu, wanamtukana Mungu, ni washenzi kupita kiasi, hawamjali Mungu hata kidogo, wanapora na kuteka nyara, wamepoteza dhamiri yote, na hawana hata chembe ya wema, na wanawajaribu watu wasiokuwa na hatia kuwa watu wasiokuwa na uwezo wa kuhisi. Wazazi wa kale? Viongozi Wapendwa? Wote wanampinga Mungu! Udukuzi wao umeacha wote walio chini ya mbingu katika hali ya giza na machafuko! Uhuru wa dini? Haki halali na matakwa ya wananchi? Zote hizo ni njama za kufunika dhambi! Nani ambaye ameikumbatia kazi ya Mungu? Nani ametoa maisha yake au kumwaga damu kwa ajili ya kazi ya Mungu? Kwa kizazi baada ya kizazi, kutoka kwa wazazi hadi watoto, mwanadamu aliyepo katika utumwa bila heshima amemfanya Mungu mtumwa—hii inawezaje kukosa kuamsha hasira? Maelfu ya miaka ya chuki ikiwa imejaa kifuani, milenia ya dhambi imeandikwa katika moyo–inawezekanaje hii isichochee chuki? Kumlipiza Mungu, kuuondoa kabisa uadui wake, usimwache kutangatanga tena, na usimruhusu kufanya fujo zaidi kama anavyotaka! Sasa ndio wakati: Mwanadamu ana muda mrefu tangu akusanye nguvu zake zote, amejitolea nguvu zake zote, amelipa kila gharama, kwa hili, kuchana uso uliojificha wa pepo hili na kuwafanya watu, ambao wamepofushwa na kuvumilia kila aina ya mateso na taabu, kuinuka kutoka katika maumivu na kurudi kwa Shetani huyu wa zamani. Kwa nini kuweka kikwazo hicho kisichopenyeka katika kazi ya Mungu? Kwa nini utumie hila mbalimbali kuwadanganya watu wa Mungu? Uhuru wa kweli na haki na matakwa halali vipo wapi? Usawa uko wapi? Faraja iko wapi? Wema upo wapi? Kwa nini kutumia mbinu za hila kuwadanganya watu wa Mungu? Kwa nini kutumia nguvu kukandamiza ujio wa Mungu? Kwa nini asimruhusu Mungu kuzunguka katika dunia ambayo Ameiumba? Kwa nini kumbana Mungu hadi Anakosa sehemu ya kupumzisha kichwa Chake? Wema upo wapi miongoni mwa wanadamu? Ukarimu upo wapi miongoni mwa wanadamu? Kwa nini kusababisha matamanio makubwa kiasi hicho kwa Mungu? Kwa nini kumfanya Mungu kuita tena na tena? Kwa nini kumlazimisha Mungu kumhofia Mwana Wake mpendwa? Kwa nini jamii hii ya giza na mbwa wao walinzi wasimruhusu Mungu kuja bila kizuizi na kuzunguka dunia ambayo Aliiumba? Kwa nini mwanadamu haelewi, mwanadamu anayeishi katika maumivu na mateso? Mungu amevumilia mateso makubwa kwa ajili yenu, kwa maumivu makubwa Amemtoa Mwanawe wa pekee, mwili wake na damu, kwa ajili yenu, sasa kwa nini bado mnakuwa vipofu? Katika mtazamo mzima wa kila mtu, mnakataa ujio wa Mungu, na mnakataa urafiki wa Mungu. Kwa nini mnakosa busara kiasi hicho? Mko tayari kuvumilia uonevu katika jamii ya giza kama hii? Kwa nini, badala ya kujaza tumbo lenu kwa milenia ya uadui, mnajidanganya wenyewe kwa "kinyesi" cha mfalme wa mashetani?

Je, vikwazo kwa kazi ya Mungu ni vikubwa vipi? Je, kuna yeyote aliyewahi kujua? Watu wakiwa wamefungwa tunduni na rangi za ushirikina zenye nguvu, ni nani anayeweza kuujua uso wa kweli wa Mungu? Kwa ujuzi huu wa kitamaduni wenye maendeleo ya nyuma mno ulio wa juujuu na wa upuuzi, wangewezaje kuelewa kwa ukamilifu maneno yaliyosemwa na Mungu? Hata wakati wanapozungumziwa na kulishwa ana kwa ana, mdomo kwa mdomo, wangewezaje kuelewa? Wakati mwingine ni kana kwamba maneno ya Mungu yamepuuzwa kabisa: Watu hawana mjibizo hata kidogo, wao hutikisa vichwa vyao na hawaelewi chochote. Je, hili lingekosaje kuwa lenye kutia wasiwasi? Hii "historia ya kitamaduni ya kale na maarifa ya kitamaduni” ya mbali”[4] imekuza kikundi cha watu wasio na thamani hasa. Utamaduni huu wa kale—urithi wa thamani—ni rundo la takataka! Uligeuka kuwa doa la milele, lisiloweza kuzungumziwa kitambo sana! Umewafundisha watu hila na mbinu za kumpinga Mungu, na "mwongozo wa utaratibu, wa upole" wa elimu ya kitaifa umewafanya watu kuwa wakaidi hata zaidi kwa Mungu. Kila sehemu ya kazi ya Mungu ni ngumu sana, na kila hatua ya kazi Yake duniani imekuwa ya kumhuzunisha Mungu. Jinsi kazi Yake duniani ilivyo ngumu! Hatua za kazi ya Mungu duniani zinahusisha shida kubwa: Udhaifu wa mwanadamu, upungufu, utoto, ujinga na kila kitu cha mwanadamu—kila kimoja kimepangwa kwa uangalifu sana na kuangaliwa kwa hadhari sana na Mungu. Mwanadamu ni kama duma wa kutisha ambaye mtu hathubutu kumtega au kumchokoza; anapoguswa tu anauma, au vinginevyo anaanguka chini na kupoteza mwelekeo wake, na ni kana kwamba, akipoteza umakini kidogo tu, anarudia uovu tena, au anampuuza Mungu, au anakimbia kwa baba yake nguruwe au mama yake mbwa kuendeleza mambo machafu ya miili yao. Ni kizuizi kikubwa kiasi gani! Katika kila hatua ya kazi Yake haswa, Mungu anawekwa katika majaribu, na takribani kila hatua inaleta hatari kubwa. Maneno yake ni ya kweli na ya uaminifu, na bila uovu, lakini nani yupo tayari kuyakubali? Nani yupo tayari kutii kikamilifu? Inavunja moyo wa Mungu. Anafanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya mwanadamu, Anasongwa na wasiwasi kuhusu maisha ya mwanadamu na Anauonea huruma udhaifu wa mwanadamu. Amevumilia shida nyingi katika kila hatua ya kazi Yake, kwa kila neno Analozungumza; Yupo katikati ya mwamba na sehemu ngumu, na kufikiria juu ya udhaifu wa mwanadamu, ukaidi, utoto, na vile alivyo hatarini wakati wote....tena na tena. Nani amewahi kulijua hili? Nani anaweza kuwa na imani? Nani anaweza kufahamu? Anachukia dhambi za wanadamu daima, na ukosefu wa uti wa mgongo, mwanadamu kutokuwa na uti wa mgongo, ndiko kunamfanya kuwa na hofu juu ya hatari aliyonayo mwanadamu, na kutafakari njia zilizopo mbele ya mwanadamu; siku zote, anapoangalia maneno na matendo ya mwanadamu, je, yanamjaza huruma, hasira, na siku zote vitu hivi vinamletea maumivu moyoni Mwake. Hata hivyo, wasio na hatia wamekuwa sugu; kwa nini ni lazima Mungu siku zote afanye vitu kuwa vigumu kwao? Mwanadamu dhaifu, ameondolewa kabisa uvumilivu; kwa nini Mungu awe na hasira isiyopungua kwa mwanadamu? Mwanadamu aliye dhaifu na asiye na nguvu hana tena uzima hata kidogo; kwa nini Mungu anamkaripia siku zote kwa ukaidi wake? Nani anayeweza kuhimili matishio ya Mungu mbinguni? Hata hivyo, mwanadamu ni dhaifu, na yupo katika dhiki sana, Mungu ameisukuma hasira Yake ndani kabisa moyoni Mwake, ili kwamba mwanadamu ajiakisi mwenyewe taratibu. Ilhali mwanadamu, aliyepo katika matatizo makubwa, hazingatii hata kidogo mapenzi ya Mungu; amedondoshwa miguuni na mfalme mzee wa mashetani, na bado haelewi kabisa, siku zote anajiweka dhidi ya Mungu, au si moto wala baridi kwa Mungu. Mungu amezungumza maneno mengi sana, lakini nani ambaye ameyazingatia? Mwanadamu haelewi maneno ya Mungu, lakini bado hashtuki, bila kuwa na shauku, na hajawahi kuelewa kabisa hulka ya Shetani wa kale. Watu wanaishi Kuzimu, lakini wanaamini wanaishi katika "kasri la chini ya bahari"; wanateswa na joka kuu jekundu, lakini bado wanadhani wamependelewa[5] na nchi ya joka; wanadhihakiwa na Shetani lakini wanadhani wanafurahia ustadi wa hali ya juu wa mwili. Ni wachafu kiasi gani, ni mafidhuli kiasi gani! Mwanadamu amekutana na bahati mbaya, lakini haijui, na katika jamii hii ya giza anapatwa na ajali baada ya ajali,[6] lakini bado hajazinduka katika hili. Ni lini atakapoachana na wema wake wa kibinafsi na tabia ya mawazo ya kiutumwa? Kwa nini hajali moyo wa Mungu kiasi hicho? Je, anajifanya haoni ukandamizaji na shida hii? Je, hatamani kuwe na siku ambayo atabadilisha giza kuwa nuru? Je, hatamani zaidi kuponya uonevu dhidi ya haki na ukweli? Je, yupo tayari kutazama tu bila kufanya chochote watu wakitupilia mbali ukweli na kupindua ukweli? Je, anafurahia kuendelea kuvumilia matendo haya mabaya? Je, yupo radhi kuwa mtumwa? Je, yupo tayari kuangamia mkononi mwa Mungu pamoja na mali za taifa hili lililoanguka? Azma yako ipo wapi? Malengo yako yapo wapi? Heshima yako ipo wapi? Maadili yako yapo wapi? Uhuru wako upo wapi? Je, upo radhi kutoa maisha yako yote kwa ajili ya joka kuu jekundu, mfalme wa mashetani? Je, unafurahi kumwacha akutese hadi kufa? Kina chake ni vurugu na giza, mtu wa kawaida, anayeteseka na mateso kama hayo, analalamika bila kupumzika. Ni lini mwanadamu ataweza kunyanyua kichwa chake juu? Mwanadamu amekuwa kimbaumbau na amekonda, anawezaje kuridhika na Shetani huyu katili na dikteta? Kwa nini asiyatoe maisha yake kwa Mungu mapema awezavyo? Kwa nini bado anayumbayumba, ni lini atamaliza kazi ya Mungu? Hivyo anaonewa na kunyanyaswa bila sababu yoyote, maisha yake yote hatimaye yatakuwa bure; kwa nini ana haraka hivyo ya kufika, na haraka hiyo ya kuondoka? Kwa nini hahifadhi kitu kizuri cha kumpa Mungu? Je, amesahau milenia ya chuki? Labda, watu wengi huchukia sana baadhi ya maneno ya Mungu, au labda hawayachukii sana wala hawana shauku kwayo. Hata hivyo, ukweli hauwezi kugeuka kuwa kufikiri kwa upuuzi; hakuna anayeweza kusema maneno ambayo yanaupinga ukweli. Mungu amefanyika kuwa mwili wakati huu kufanya kazi hii, kukamilisha kazi ambayo bado Hajaikamilisha, kuifunga enzi hii, kuihukumu enzi hii, kuwaokoa waliozama kabisa dhambini kutoka katika ulimwengu wa bahari ya mateso na kuwabadilisha kabisa. Wayahudi walimsulubisha Mungu msalabani, hivyo kuhitimisha "safari za Mungu kwenda Uyahudi." Sio baada ya muda mrefu, Mungu mwenyewe Alikuja kwa wanadamu kwa mara nyingine tena, na kuwasili kimyakimya katika nchi ya joka kuu jekundu. Kimsingi, jumuiya ya kidini ya serikali ya Kiyahudi kwa muda mrefu ilikuwa imetundika picha ya Yesu katika kuta zao, na kwa vinywa vyao watu wakalia "Bwana Yesu Kristo." Hawakujua kwamba Yesu alikubali zamani sana amri ya Baba Yake kurudi miongoni mwa wanadamu kukamilisha hatua ya pili ya kazi Yake ambayo haijakamilika. Na matokeo yake, watu walipigwa na butwaa walipomwangalia: Alikuwa Amezaliwa katika ulimwengu ambamo enzi nyingi zilikuwa zimepita, na Alionekana miongoni mwa wanadamu kwa umbo la yule ambaye ni wa kawaida kabisa. Kimsingi, kadri enzi zilivyopita, mavazi Yake na umbo lote vimembadilika, kana kwamba Amezaliwa upya. Watu wangewezaje kujua kuwa ni Bwana Yesu Kristo yule Aliyeshuka msalabani na Aliyefufuliwa? Hana hata chembe ya jeraha, kama ambavyo Yesu hakuwa Anafanana na Yehova. Yesu wa leo kwa muda mrefu hajakuwa na kuvumilia kwa nyakati zilizopita. Watu wangewezaje kumjua? Watu wenye mashaka kama "Tomaso" mnafiki siku zote anakuwa na mashaka kwamba ni Yesu aliyefufuka, siku zote anataka kuona makovu ya misumari katika mikono ya Yesu kabla hajatuliza akili yake; bila kuyaona, siku zote anaweza kusimama katika wingu la mashaka, na anakuwa hana uwezo wa kusimama imara na kumfuata Yesu. Maskini "Tomaso"—angewezaje kujua kuwa Yesu amekuja kufanya kazi Aliyoamriwa na Mungu Baba? Kwa nini Yesu anataka kuchukua makovu ya msalaba? Je, makovu ya kusulubiwa ni alama za Yesu? Amekuja kufanya kazi kwa ajili ya mapenzi ya Baba Yake; kwa nini Aje Akiwa Amevaa na kupambika kama Myahudi wa miaka elfu kadhaa iliyopita? Je, umbo ambalo Mungu analichukua katika mwili linaweza kuzuia kazi ya Mungu? Je, hii ni nadharia ya nani? Kwa nini, Mungu anapofanya kazi, ni lazima iwe kulingana na mitazamo ya mwanadamu? Kitu pekee ambacho Mungu anapambana kwa ajili yake katika kazi Yake ni ili kazi hiyo iwe na matokeo. Hafuati sheria, na hakuna kanuni katika kazi Yake–mwanadamu angewezaje kuielewa? Ingewezekanaje dhana za binadamu kufahamu kazi yote ya Mungu? Hivyo ni vizuri zaidi kutulia vizuri: Msihangaike na mambo madogomadogo, na msichukulie kwa ukubwa mambo ambayo ni mapya kwenu—hii itakuzuia kujitania na watu kukucheka. Umemwamini Mungu kwa miaka yote hii lakini bado humjui Mungu; hatimaye unatumbukiza katika kuadibu, wewe, ambaye umewekwa katika "kiwango cha juu kabisa,"[7] umewekwa katika madaraja ya walioadibiwa. Ni bora zaidi usitumie mbinu zako za kijanja kuonyesha hila zako; je, mtazamo wako huo finyu unaweza kumwelewa Mungu, Anayefahamu kutoka milele hadi milele? Je, uzoefu wako huo wa juujuu unaweza kuelewa kabisa mapenzi ya Mungu? Usiwe na majivuno. Hata hivyo, Mungu sio wa dunia—kwa hiyo inawezekanaje kazi Yake iwe kama ulivyotarajia?

Tanbihi:

1. "Kiongozi wa uovu wote" inahusu shetani mkongwe. Kirai hiki kinaonyesha kutopenda kabisa.

2. "Wakitoa tuhuma zisizokuwa na msingi" inahusu mbinu ambazo shetani hutumia huwadhuru watu.

3. "Inalindwa isivyo kawaida" inaonyesha kuwa mbinu ambazo shetani hutumia huwatesa watu ni mbovu hasa, na kuwadhibiti watu sana kiasi kwamba hawana nafasi ya kusogea.

4. "Ya mbali" inatumiwa kwa dhihaka.

5. "Wamependelewa" inatumiwa kuwadhihaki watu wanaoonekana wagumu na hawajitambui.

6. "Anapatwa na ajali baada ya ajali" inaonyesha kuwa watu walizaliwa katika nchi ya joka kubwa jekundu, na hawawezi kuwa na ujasiri.

7. "Kiwango cha juu kabisa," " inatumiwa kuwadhihaki wale wanaomtafuta Mungu kwa bidii.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Yaliyopendekezwa: Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni