New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufichua Siri ya Jina la Mungu
Utambulisho
Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesukatika Agano Jipya.