3.20.2018

Umeme wa Mashariki | 16. Kuvunja Pingu


Zhenxi Jijini Zhenzhou, Mkoani Hena
Miaka kumi iliyopita, nikiendeshwa na asili yangu ya kiburi, sikuweza kamwe kutii kikamilifu mipangilio ya kanisa. Ningetii ikiwa ilinifaa, lakini iwapo haingenifaa ningechagua iwapo ningetii au la. Hili lilisababisha kukiuka sana mipangilio ya kazi wakati wa kutimiza wajibu wangu.

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana



Watu wengi ambao wana imani katika Bwana huhisi kwamba maneno na kazi ya Mungu vyote viko katika Biblia, kwamba wokovu wa Mungu kama ulivyoelezewa katika Biblia tayari umejaa, kwamba imani katika Mungu lazima iwe kwa msingi wa Biblia na kwamba kama imani yetu kwa Mungu ni kwa msingi wa Biblia, basi kwa hakika tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni.

3.19.2018

Umeme wa Mashariki | Njia... (8)

Umeme wa Mashariki | Njia... (8)


Mwenyezi Mungu alisema, Wakati ambapo Mungu anakuja duniani kuchanganyika na wanadamu, kuishi nao, sio tu kwa siku moja au mbili. Labda kwa wakati huu wote watu wamemjua Mungu kwa kiwango fulani, na labda wamepata utambuzi muhimu wa kumhudumia Mungu, na wamepata uzoefu sana katika imani yao katika Mungu.

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu

 

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu



Fu Jinhua alikuwa mzee wa kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini, na alijiona kuwa mtu ambaye alimpenda Bwana kweli. Baada ya kumfuata Bwana kwa miaka mingi, aliamini kwa moyo wote kwamba Biblia ilikuwa imefunuliwa na Mungu, na kwamba maneno katika Biblia yote yalikuwa maneno ya Mungu. Kwa hivyo, akilini mwake, alilinganisha kuamini katika Bwana na kuamini katika Biblia.

3.18.2018

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje?


Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje?


Watu wengine huongozwa na maneno ya Paulo katika suala la kumngoja Bwana ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni: "Kwa ghafla, kufumba na kufumbua, wakati wa tarumbeta ya mwisho: kwa maana tarumbeta italia, na wafu watafufuliwa bila uovu, na tutabadilishwa" (1Kor 15:52).

3.17.2018

Umeme wa Mashariki | Swahili Gospel Movie ""Vunja Pingu Na Ukimbie"" | Bwana ni Mchungaji Wangu"

Umeme wa Mashariki | Swahili Gospel Movie ""Vunja Pingu Na Ukimbie"" | Bwana ni Mchungaji Wangu"


Lee Chungmin alikuwa mzee wa kanisa fulani huko Seoul, Korea ya Kusini. Kwa zaidi ya miaka ishirini, alimtumikia Bwana kwa shauku kubwa, akamakinika kikamilifu juu ya kusoma Biblia. Akifuatia mfano wa viongozi wake wa kidini, alidhani kuwa kumwamini Bwana kulimaanisha kuiamini Biblia, na kwamba kuwa na imani katika Biblia kulikuwa sawa kabisa na kuwa na imani katika Bwana.

Umeme wa Mashariki | Njia… (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Umeme wa Mashariki | Njia… (1)

Umeme wa Mashariki | Njia… (1)


Mwenyezi Mungu alisema, Katika maisha yake, hakuna mtu anayejua ni aina gani ya vipingamizi ataenda kukutana navyo, wala hajui ni aina gani ya kusafishwa ambayo atapata mara kwa mara. Kwa wengine ni katika kazi yao, kwa wengine ni katika matazamio yao ya siku za baadaye, kwa wengine ni katika familia yao ya asili, na kwa wengine ni katika ndoa yao. Lakini kilicho tofauti nayo ni kwamba leo sisi, kundi hili la watu, tunateseka kwa ajili ya neno la Mungu.

3.16.2018

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(2) - Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni

Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(2) - Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni


Watu wengine huamini, kwa kuwa Mungu aliweza kuumba mbingu na dunia na vitu vyote kwa neno moja, kuweza kuwafufua wafu kwa neno moja, Mungu pia Ataweza kubadili taswira zetu mara moja, kutufanya watakatifu, kutuinua hewani kukutana na Bwana wakati Atakaporudi katika siku za mwisho.

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?

Kristo wa siku za mwisho amekuwa akifanya kazi Yake nchini China kwa zaidi ya miaka 20, kazi ambayo imetetemesha makundi mbalimbali ya kidini kwa kina. Swali la kufadhaisha zaidi kwa jumuiya za kidini wakati huu limekuwa: Wachungaji wengi na wazee wa kanisa katika jumuiya ya kidini wamefanya liwezekanalo kuuhukumu na kuushambulia Umeme wa Mashariki kupitia njia mbalimbali kama vile kueneza uvumi kuhusu na kuukashifu Umeme wa Mashariki.

3.15.2018

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"

 Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"


I
Mwenyezi Mungu mwenye mwili
Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki,
kama tu vile jua la haki likichomoza;
mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.
Mungu wa haki na mwenye uadhama, mwenye upendo na huruma
Anajificha kwa unyenyekevu miongoni mwa wanadamu,
Akitoa ukweli, kuzungumza na kufanya kazi.

3.10.2018

Umeme wa Mashariki | Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"

Umeme wa Mashariki |  Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"


Song Ruiming ni mchungaji wa kanisa huko Korea Kusini. Kama mfuasi wa dhati wa Bwana kwa miaka mingi, amekuwa akifuatilia imani yake kwa bidii sana na kumfanyia kazi Bwana huku akisubiri kuinuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Katika miaka ya hivi karibuni, amekuwa akihisi kuchanganyikiwa sana na mwenye udhaifu anapokuwa akiona kwamba Kanisa halina kazi ya Roho Mtakatifu na linazidi kuwa na ukiwa.

3.09.2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 3

Kanisa la Mwenyezi MunguSura ya 3



Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kuwa mnaitwa watu Wangu, mambo hayapo kama yalivyokuwa; mnapaswa kusikiliza na kutii matamshi ya Roho Wangu, fuateni kwa karibu kazi Yangu, na msitenganishe Roho Wangu na mwili Wangu, maana kwa asili Sisi ni wamoja, na Hatujatengana. Yeyote ambaye hugawanya Roho na mwanadamu, akimthamini mwanadamu au Roho, atapata hasara, na ataweza tu watakunywa kutoka kwenye kikombe chao kichungu—ni hayo tu. Ni wale tu ambao wanaweza kumtazama Roho na mwanadamu kama kitu kizima kisichoweza kutenganishwa ndio wataweza kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu Mimi, na ni hapo tu ndipo mabadiliko yanaweza kutokea taratibu katika maisha yaliyomo ndani yao.